OFFA KUBWA YA VITABU NA MICHANGANUO YA BIASHARA KIKIWEMO THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION-2021 KWA SH. ELFU 11 TU. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

OFFA KUBWA YA VITABU NA MICHANGANUO YA BIASHARA KIKIWEMO THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION-2021 KWA SH. ELFU 11 TU.

Haijawahi kutokea na pengine haitatokea tena blogu hii kutoa OFFA kubwa na ya kipekee kama hii. Kifurushi cha Vitabu na Michanganuo chenye thamani jumla ya shilingi, 150,000/= Kwa shilingi elfu 11 pekee. Ni Offa ya siku 7 kuanzia tarehe 23/08/2021 mpaka tarehe 23/08/2021.

Hata hivyo katika offa hii kitabu cha Think & Grow Rich-swahili tunazo Coupon 20 tu, hivyo kuna uwezekano kuisha kabla ya offa kumalizika. Kwahiyo ili kuhakikisha unapata vitu vyote ….. wahi mapema vinginevyo unaweza kupata offa isiyokuwa na kitabu hicho muhimu.


JINSI YA KUPATA OFFA YAKO MARA MOJA (INSTANTLY)

Unalipia shilingi elfu 10 kisha nakutumia items zote 13 kupitia email yako au watsap kasoro kitabu cha Think and grow Rich tu. Baada ya hapo nitakutumia Coupon maalumu utakayoitumia kudownload kitabu chako cha FIKIRI & UTAJIRIKE kwenye smartphone yako katika mtandao wa GETVALUE kwa kulipia sh. elfu moja tu badala ya elfu 15. Hivyo jumla utakuwa umelipa sh. Elfu 11 tu, offa nzima.

Ikiwa kwa sasa huna smartphone unaweza kulipia offa hii tu ukachukua hizo items 13 kisha baadae ukiwa nayo unawasiliana na mimi nakutumia coupon yako unanunua Think & grow rich kwa sh. Elfu 1 Namba za kulipia ni hizi; 0765553030 au 0712202244 Jina ni Peter Augustino Tarimo.

Kujiunga na MASTERMIND GROUP LA MASOMO NA MICHANGANUO ya kila siku mwaka mzima pia ni hiyari yako, ikiwa unapenda kujiunga nijulishe na ikiwa hutaki unataka offa tu peke yake nijulishe pia kwa meseji.

 

NB: Offa hii inahusisha vitabu-nakalatete (softcopies) tu, Kwa vitabu vya karatasi/nakala-ngumu (hardcopies) bei ni zilezile na vinapatikana katika duka letu lililopo Mbezi-Kimara, karibu na Kanisa la KKKT Mji Mpya au St. Augustino sekondari Tagaste, kituo ni kwa MOTA. Tunawapelekea pia wateja vitabu mpaka walipo  na Mikoani lakini gharama ya nauli na basi huongezeka.

 

Link ya kununua kitabu cha FIKIRI & UTAJIRIKE kwa shilingi elfu moja(1,000/=)  baada ya kupata Coupon ukitumia Simujanja yako ni hii hapa ;THINK & GROW RICH-SWAHILI

 

Maelezo namna ya kununua pia nimeyaweka katika kiungo kifuatacho, JINSI YA KUNUNUA KITABU MTANDAO WA GETVALUE au pia unaweza ukatazama video iliyowekwa na wamiliki wa mtandao huo hapa you tube, Namna ya kununua bidhaa kwa kutumia mitandao ya simu

 

NB: OFFA HII TAYARI ILISHAPITA.

Kupata vitabu na Michanganuo mbalimbali ya Biashara tembelea Dula letu hapa liitwalo Smart Books Tanzania

0 Response to "OFFA KUBWA YA VITABU NA MICHANGANUO YA BIASHARA KIKIWEMO THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION-2021 KWA SH. ELFU 11 TU."

Post a Comment