WEWE UNATUMIA MKAKATI UPI KATI YA HII 3 KUJIINGIZIA PESA? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WEWE UNATUMIA MKAKATI UPI KATI YA HII 3 KUJIINGIZIA PESA?

pesa, pesa
Dunia nzima kuna stratejia kuu 3 zinazotumiwa na watu kujiingizia kipato cha kila siku, Si vibaya basi kama mjasiriamali ukafahamu wewe unatumia stratejia au njia ipi kutengeneza pesa. Sijasema utuambie hapa la hasha, bali tafakari tu mwenyewe moyoni. Nitaanza kwa kuzitaja zote tatu hapa na kisha nitazielezea moja baada ya nyingine kidogo;
...............................................................

Hili ndugu msomaji ni somo letu la jana usiku August 31 2019 katika mfululizo wa masomo ya pesa kwenye group la MICHANGANUO-ONLINE. Masomo haya ya kipekee usiyoweza kuyapata mahali kwingine kokote hutolewa kila siku kuanzia saa 3-4 usiku kila siku  na hapa katika blogu ya jifunzeujasiriamali huwa tunaweka sehemu tu ya masomo hayo.

Kujiunga na group hilo ni bure isipokuwa unalipia vitabu na masomo mbalimbali yaliyokwishaandaliwa kwa sh. elfu 10 tu. Masomo na vitabu hivyo kwa sasa vinatolewa kwa bei hiyo ya offa ambapo baada ya muda offa itakwisha. Kulipia tumia namba zetu, Mpesa au Tigo pesa, 0765553030  au 0712202244 kisha nitumie ujumbe wa WASAP au SMS ya kawaida katika namba, 0765553030 usemao, "NIUNGANISHE NA GROUP LA MASOMO"  Nami muda huohuo nitakuunganisha na group pamoja na kukutumia offa zote.

Ikiwa hupendi kujiunga na GROUP unaweza kulipia na masomo tukakutumia kupitia E-MAIL yako.

Katika group pia tunakuwa na semina kila mwezi za kuandika Michanganuo ya viwanda, na mwezi huu wa 9 tarehe 15 tutakuwa na mpango wa biashara ya KIWANDA CHA USAGISHAJI UNGA WA MAHINDI. Hivyo usichelewe wahi nafasi yako kabla ya tarehe 14 usiku mwisho wa kulipia.

Baadhi ya offa ya vitabu, michanganuo na masomo hayo ni hizi hapa chini;



1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.              Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.              Semina na mchanganuo wa Biashara: Kiwanda cha tofali za saruji Kiluvya.

12.              Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

13.              Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

14.              Ukurasa mmoja wa mchanganuo.


0 Response to "WEWE UNATUMIA MKAKATI UPI KATI YA HII 3 KUJIINGIZIA PESA?"

Post a Comment