WATU KUDAI PESA HAIWEZI KULETA FURAHA MAISHANI, SABABU NZITO YABAINIKA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WATU KUDAI PESA HAIWEZI KULETA FURAHA MAISHANI, SABABU NZITO YABAINIKA


Kumbe ule usemi kwamba Pesa haiwezi ikaleta furaha maishani ni kama danganya toto tu na imebainika eti kwamba watu waliouanzisha msemo huu ni wale ambao walishawahi kushika kiasi kikubwa sana cha fedha katika maisha yao. Chanzo kinasema kwamba haiwezekani kabisa maneno haya wakayasema watu masikini ambao katika maisha yao yote hawajawahi kumiliki hata milioni moja, kwanza watajuajejuaje kama pesa haiwezi kuwafanya wawe na furaha ili-hali hawajawahi kuzikamata hizo pesa? Je ni kweli fedha haina uwezo wa kuleta furaha?

……………………………………………….

Naomba tuungane leo hii saa 3 usiku kwenye Master Mind Group la MICHANGANUO-ONLINE whatsap, ambapo somo hili litafundishwa mpaka mwisho. Kujiunga na group hili la masomo adimu kabisa ya kila siku, lipia sh. Elfu 10 tu ambayo unapata na offa ya vitu vingine vingi, ni vitabu, michanganuo, masomo na seminars mbalimbali zilizokuwa compiled katika PDF tofauti tofauti zipatazo 18.

Nitakupa pia na kitabu changu kipya kabisa kiitwacho,

SAIKOLOJIA NA UTAMBUZI WA HALI YA JUU KIFEDHA
(ADVANCED MONEY LITERACY & PSYCHOLOGY)Madini haya nitakayokutumia kwa njia ya email au watsap yako ni mengi na ikiwa wewe ni mtu unayependa kujifunza ujasiriamali ‘seriously’ kwa kweli utatamani uongeze hata hela, hutaamini kama kwa sh. Elfu 10 tu unaweza ukapata vitu vyote hivi. Kwa bahati mbaya sana hii OFFA haitadumu kwa muda mrefu, hivyo siwezi kuku ‘guarantee’ itaisha lini. Cha muhimu kama wewe unapenda ujasiriamali basi ni kuwahi mapema.

Namba za malipo, ni 0765553030  au  0712202244 na jina langu mwenyewe litatokea, Peter Augustino Tarimo

Kwa somo jingine zuri kamili na la hivi punde fungua hapa chini usome,

0 Response to "WATU KUDAI PESA HAIWEZI KULETA FURAHA MAISHANI, SABABU NZITO YABAINIKA"

Post a Comment