SEMINA:
KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA YA KIWANDA
TOFALI ZA SEMENTI
(HATUA KWA HATUA)
Muda mfupi ujao itakapoika saa tano kamili
asubuhi ile semina yetu ya kuandika mpango wa biashara ya kiwanda cha tofali
itaanza rasmi. Semina hii ni ya siku tatu;
1. Siku
ya 1 ni utafiti ulivyofanyika
2. Siku
ya 2, ni jinsi ya kuandika sehemu 8 zote hatua kwa hatua
3. Siku
ya 3 tutafanya makisio ya hesabu kwa miaka yote 3
SIKU YA LEO 15/8/2019
Kitu cha kwanza kabisa nilichokifanya ni
utafiti wa biashara hii ya tofali za block au tofali za saruji(cement). Katika
utafiti huo nilifanya uchunguzi wa karibu kila kitu kinachohusiana na biashara
hii na niliugawa utafiti huo katika sehemu kuu 3 kama ifuatavyo.
1. Ufafiti wa soko na bidhaa ninazotaka kuuza.
2. Utafiti
wa maswala ya kiufundi na Utawala.
3. Utafiti
wa maswala ya fedha.
Vipengele hivyo vinafanana kidogo na vile
vinavyopatikana kwenye mpango wa biashara kwa kuwa kimsingi mambo yanayotakiwa
uyachunguze katika utafiti ndiyo yaleyale utakayokuja kutumia majibu yake
wakati ukiandika mpango wa biashara.
Kwenye utafiti wa soko na bidhaa niliongozwa
na maswali yafuatayo;…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
Ili kuweza
kusoma utafiti wote ulivyofanyika leo na kesho kuendelea na semina, ungana na sisi
katika group la MICHANGANUO-ONLINE, simu/whatsapp: 0765553030
Tutaendelea
kuandika hatua kwa hatua siku ya kesho
na kumaliza sehemu zote 8 yakiwemo makisio ya hesabu za faida na hasara kwa
miezi yote 12 ya mwaka wa 1.
Keshokutwa
siku ya Ijumaa katika group la Michanganuo Premium tutamalizia na makisio ya
taarifa za mahesabu kwa kina kwa miaka 2 inayofuata. Tutaona jinsi ya kukisia
faida na hasara, mtiririko wa fedha na mizania ya biashara kwa miaka yote 3.
Ikiwa hujajiunga na group la premium unaweza kulipia kiingilio chako na
utaunganishwa pamoja na kutumiwa offa ya masomo, michanganuo na vitabu
mbalimbal.
0 Response to "SEMINA: BIASHARA YA KIWANDA KIDOGO CHA TOFALI ZA SARUJI(SEMENTI)"
Post a Comment