ASSETI(RASILIMALI) INAYOWEZA KUKUTAJIRISHA KIPESA LAKINI HUJUI KAMA UNAYO

Rasilimali iliyojificha
Kama umekuwa ukifanya biashara kwa muda fulani bila kujali muda huo ni mrefu au mfupi, fahamu kabisa kwamba unamiliki rasilimali/aseti fulani kubwa iliyojificha na ambayo pia washindani wako kibiashara ikiwa kama siyo wajanja vya kutosha nao wanaweza katu wasiweze kuijua wala kuiona. Mara tu utakapoigundua asseti hiyo na kuanza kuitumia kikamilifu utaanza mara moja kuifurahia faida kubwa kupita washindani wako kibiashara  katika soko mnalohudumia. 
Je asseti hiyo ni kitu gani hasa? Siri ni hii ifuatayo;…..

………………….

Mpendwa msomaji wa blogu ya jifunzeujasiriamali, hili ni moja kati ya masomo yahusuyo fedha tunayojifunza katika group la MICHANGANUO-ONLINE kila siku. Ikiwa unapenda uyasome masomo haya kwa ukamilifu basi unaweza kujiunga na group kwa kiingilio cha shilingi elfu 10 ambayo unapata na vitabu mbalimali, michanganuo ya biashara na masomo mengi yaliyopita.

Somo hili la leo tutajifunza katika group kuanzia saa 3 hadi saa 4 usiku. Kulipia namba zetu ni 0765553030 kisha tuma ujumbe wa NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUOONLINE na utaunganishwa muda huohuo pamoja na kutumiwa kila kitu.


0 Response to "ASSETI(RASILIMALI) INAYOWEZA KUKUTAJIRISHA KIPESA LAKINI HUJUI KAMA UNAYO"

Post a Comment