MAMBO 8 YA KIPEKEE YANAYOWAPA WATU FURAHA YA KWELI, JE PESA IPO? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAMBO 8 YA KIPEKEE YANAYOWAPA WATU FURAHA YA KWELI, JE PESA IPO?

WANANDOA WALIOJAA FURAHA
Mada hii ni watu wengi sana wamewahi kuizungumzia mitandaoni na hata nje ya mitandao na kuna vitu vingi pia vimewahi kutajwa kuwa huleta furaha kwa binadamu lakini vitu au mambo haya nitakakwenda kuyataja leo hapa ni tofauti kabisa, au tuseme ni orijino, nikimaanisha kuwa ni vitu vilivyofanyiwa utafiti wa kina kabisa na jopo la watu mimi mwenyewe binafsi nikiwamo.


Katika vitu vingi vinavyotajwa kumpa binadamu  furaha, mwisho wa siku wengi huja kukuta havina uwezo wowote wa kumpa mtu furaha ya kweli iwezayo kudumu muda mrefu. Hata ikiwa watu wanahubiriwa kila wakati kuwa vitu fulani ndivyo huweza kuwaletea furaha, mara nyingi hukuta hawawezi kwenda moja kwa moja na kuipata furaha hiyo kutokana na vitu hivyo, tena cha kushangaza basi watu wengi huendelea tu kuitafuta furaha kutoka katika vitu vingine tofauti visivyoeleweka.

Wanajikuta wakiwa bado na kiu kali ya furaha lakini wasijue ni namna gani waipate, kumbe kuna njia rahisi tu za kuipata ambazo unaweza usiamini mara moja utakapotajiwa kwamba ndizo chanzo cha furaha ya watu wengi Duniani uliowahi kusikia waliishi au wanaishi bila misongo ya mawazo(stress). Suala pia kama pesa nayo ni miongoni mwa vitu hivyo au la, tutakwenda kulijua kadiri somo letu hili linavyoendelea.


Tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya  vitu hivyo 8 na vile watu wengi walivyozoea kufikiri ndivyo huleta furaha ni kwamba, hivi ni vitendo ambavyo mtu anatakiwa kuvifanya na wala siyo vitu maalumu mfano wa pesa, mali au chakula.Hebu sasa tukaone vitendo hivyo moja baada ya kingine;......


..............................................................

Mpenzi msomaji wangu hii ni sehemu ndogo tu ya somo, somo hili zima tutasoma leo May 5 usiku saa 3 katika group letu la masomo ya kila siku la MICHANGANUO-ONLINE, Katika group hili tunakuwa na masomo yahusuyo Fedha pamoja na Michanganuo ya biashara kila siku, tunashea mambo mbalimbali vikiwemo vitabu, michanganuo pamoja na vitu vingine mbalimbali.


Kiingilio ni shilingi Elfu 10 kwa mwaka huu mzima na mara tu unapolipa tunakutumia masomo yote yaliyopita zikiwemo semina na michanganuo. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi vifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.              Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.              Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

12.              Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

13.              Ukurasa mmoja wa mchanganuo.


Ikiwa hutumii mtandao wa WASAP, hamna tatizo kwani masomo na vitu vyote tunatuma pia kwa njia ya Email yako.

Kujiunga lipia kiingilio chako sh. elfu 10 kupitia namba 0765553030 au 0712202244 jina hutokea Peter Augustino Tarimo kisha tuma ujumbe wa kawaida au wasap usemao, "NIUNGANISHE NA MASOMO YA KILA SIKU" Tutakuhudumia ndani ya dakika 5

0 Response to "MAMBO 8 YA KIPEKEE YANAYOWAPA WATU FURAHA YA KWELI, JE PESA IPO?"

Post a Comment