SIKU YA PILI YA SEMINA: NAMBA NA HESABU NDOGONDOGO KWA VITENDO KWENYE MPANGO WA BIASHARA (JANE RESTAURANT) | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SIKU YA PILI YA SEMINA: NAMBA NA HESABU NDOGONDOGO KWA VITENDO KWENYE MPANGO WA BIASHARA (JANE RESTAURANT)

semina ya mahesabu siku ya pili

Utangulizi.
Karibu tena leo  kwenye Semina yetu hii ya Jinsi ya kuandaa mahesabu katika Mchanganuo wa biashara ikiwa leo ni siku ya pili. Jana tulipata maelezo ya kina sana ya kila kipengele kinachohusika na namba au hesabu tangu mwanzo mpaka mwisho wa Mchanganuo wa Biashara.

Leo kwa kutumia  mchanganuo halisi tuliokwisha usoma siku zilizopita tutatumia hesabu na namba zake katika kufahamu namna zilivyopatikana. Kwa kuwa kanuni zinafanafana kwenye michanganuo yote, basi ukielewa mchanganuo huu utaweza pia kuandaa mwenyewe hesabu kwenye mchanganuo mwingine wowote ule.

SOMA: Yaliyomo kwenye semina hii nzima ya jinsi ya kuandaa hesabu za mpango wa biashara.

Mchanganuo tutakaoutumia hapa leo ni wa biashara iitwayo JANE RESTAURANT, Jane Restaurant ni muendelezo wa biashara iliyokuwa hapo mwanzo ikiitwa Jane Fast Food(tuna mchanganuo wake mzima pia katika kitabu chetu cha Michanganu ya Biashara na Ujasiriamali) Baada ya mmiliki wake kuamua kuipandisha hadhi kwa kuongeza mtaji zaidi, vifaa na eneo ndipo akaamua kuiita Jane Restaurant.

Hebu naomba nisiongee sana tuingie kwenye hesabu moja kwa moja kwani ndio lengo letu kubwa kwa siku ya leo na kesho.

..........................................................

Semina hii bado inaendelea katika Group la MICHANGANUO-ONLINE mpaka kesho itakapomalizika rasmi. Hata hivyo kwa yule ambaye hakupata nafasi jana na leo bado anaweza kulipia kiingilio sh. elfu 10 akajiunga na tukampatia sehemu zote alizokosa. Pia tunampa masomo mengine mengi yaliyopita, michanganuo na vitabu mbalimbali na ataendelea kuwa mwanachama wa group hili mpaka mwaka uishe kama ataamua mwenyewe huku akinufaika na masomo yanayotolewa mara kwa mara zikiwemo semina.

Kulipia namba ni, 0712202244  au 0765553030 jina hutokea Peter Augustino Tarimo. Kisha tuma ujumbe, "NIUNGANISHE NA SEMINA"

Semina hii ni muhimu sana kwa mtu anayependa kuweka mpango wa biashara yake kwa ajili ya kuombea fedha, lakini pia kwa ajili ya kuendesha biashara kwa ufanisi wa hali ya juu. Ni mafunzo ambayo si rahisi kuyapata ppote pale kwa gharama hii ya sh. elfu 10 tena pamoja na masomo mengine mengi ya thamani. Hii ni offa na kuna muda utafika bei hii itabadilika kwa hiyo wahi fursa hii adimu leo!

WASAP: 0765553030
SIMU: 0712202244


SOMA PIA,
Siku ya kwanza ya Semina ya jinsi ya kuandika hesabu za mchanganuo wa biashara

Jinsi ya kuchora na kutumia chati na grafu katika mpango wa biashara

0 Response to "SIKU YA PILI YA SEMINA: NAMBA NA HESABU NDOGONDOGO KWA VITENDO KWENYE MPANGO WA BIASHARA (JANE RESTAURANT)"

Post a Comment