HIVI UNAJUA HATUA ZA KUACHANA NA UMASIKINI ZINAFANANA NA ZILE ZA KUACHA UNGA? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

HIVI UNAJUA HATUA ZA KUACHANA NA UMASIKINI ZINAFANANA NA ZILE ZA KUACHA UNGA?

TEJA WA UNGA

Walevi sugu wa pombe na Mateja wanaobwia unga wanayo dunia yao ndogo waliyoizoea na huwa hawapendi kuondoka katika dunia hiyo kiurahisi. Umasikini nao ni hivyohivyo, mtu kujitoa katika ukanda wake wa faraja(comfort zone) aliouzoea ni kazi ngumu kwelikweli. Huona maisha ya umasikini ni ya kawaida tu na wala siyo jambo la mpito kwake.

SOMA: Njia 6 za kuondoa woga na stress za pesa lkatika maisha yako. 

Akiwa ndani ya ulimwengu wake huo mdogo amekunja nne huku akijiliwaza, hawezi kutambua jinsi maisha nje yanavyobadilika haraka, fursa zikija na kuondoka pamoja na maisha tofauti kabisa yakiendelea nje ya dunia yake hiyo ndogo.

Kama ilivyo kwa Mateja kupelekwa Soba house, masikini naye pia anatakiwa kuchukua hatua sawasawa na hizo au tuseme zinazofanana na hizo ili aweze kupona ugojwa wa Umasikini.

SOMA: Tukio hili limenifunza kwamba hofu haijawahi kutatua tatizo la pesa kwa mtu yeyote.

NI NJIA ZIPI HIZO?
Ungana na mimi leo kwenye somo hili 26/2/2019  saa 3 usiku katika darasa letu la masomo ya pesa ya kila siku. Ada ni sh. Elfu 10 kwa mwaka mzima, unapewa na masomo mengine yote yaliyopita mwaka 2018. Namba za kulipia ni 0765553030 au 0712202244 jina ni Peter Augustino Tarimo. Baada ya kutuma, tuma ujumbe wa kawaida au wasap ukisema, “NIUNGANISHE NA GROUP LA MASOMO YA PESA”

Ikiwa hutumii wasap, utapata masomo hayo yote kama kawaida kupitia Email yako.
KARIBU SANA!

WASAP: 0765553030

Masomo, vitabu na vitu mbalimbali tunayokutumia mara ujiungapo ni hivi vifuatavyo;


1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.      Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.      Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

12.      Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

13.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.

0 Response to "HIVI UNAJUA HATUA ZA KUACHANA NA UMASIKINI ZINAFANANA NA ZILE ZA KUACHA UNGA?"

Post a Comment