KAMA ADUI MKUBWA WA FEDHA ZAKO NI WEWE MWENYEWE, UTUMIE NJIA ZIPI ILI ZIWE SALAMA? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

KAMA ADUI MKUBWA WA FEDHA ZAKO NI WEWE MWENYEWE, UTUMIE NJIA ZIPI ILI ZIWE SALAMA?


MNYAMA HATARI ANAYEJITAFUNA MWENYEWE
Baadhi ya watu hugundua kwamba sababu kubwa ya kutokuona mafanikio kwenye maisha yao ya kiuchumi kumbe ni wao wenyewe kugeuka kuwa adui mkubwa namba moja wa fedha zao, wanageuka kuwa kama mnyama hatari sana anayekula wanyama wenzake lakini pia yeye mwenyewe ni hatari zaidi kwa mwili wake kwani kuna wakati hujigeukia na kuanza kuutafuna hata mkia wake mwenyewe njaa ikimshika.


Ikiwa kama unafikiri kwamba na wewe ni mmoja wa watu kama hao wasioweza kabisa kuvumilia kuziona fedha zao wenyewe ndani ya mifuko yao hata kwa siku mbili au tatu basi unahitaji kuzijua mbinu na mikakati hii ninayokwenda kufundisha leo tarehe 1 August 2018 kwenye Grou la masomo na semina la MICHANGANUO-ONLINE saa 3 mpaka saa 4 usiku.

Kiingilio ni shilingi elfu 10 na nakutumia masomo mengine yote tangu mwezi January, Vitabu, semina na utashiriki masomo na semina nyingine zote zijazo kwa kiingilio hichohicho bila ya kuongeza hata senti tano.


Malipo hufanyika kwa njia ya simu kupitia namba, TIGO 0712202244  au VODA 0765553030. Kisha unatuma anuani yako ya email na namba unayotumia wasap ukifuatia na ujumbe, NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO”. Unaweza pia ukawasiliana na sisi kwa Whatsap 0765553030

Ikiwa hutumii wasap hamna neno tuma anuani ya email na masomo na updates zote tutakuwa tukikutumia kwenye email badala ya wasap.

Baada ya hapo, nitakutumia vitu vifuatavyo pamoja na kukuunganisha na Group kisha utakuwa ukipokea masomo mapya kila siku usiku;








0 Response to "KAMA ADUI MKUBWA WA FEDHA ZAKO NI WEWE MWENYEWE, UTUMIE NJIA ZIPI ILI ZIWE SALAMA?"

Post a Comment