MAENEO USIYOTARAJIA UNAYOWEZA KUPATA PESA KWA AJILI YA KUWEKA AKIBA KILA MWEZI

Kutamka tu unataka kuweka akiba ni rahisi sana kuliko utekelezaji wenyewe, changamoto kubwa hutokana na ni wapi unakoweza ukapata fedha za ziada za kutumbukiza katika akiba yako mbali na matumizi yako ya kila siku. Wakati mwingine unaweza kuwaza utawekaje akiba wakati kuna mahitaji mengine tena ya muhimu tu hata unashindwa kuyatimiza na unalazimika kuyaacha.


Lakini hapa kuna baadhi ya maeneo ambayo mtu unaweza usiyatilie maanani kabisa kwamba yanaweza kukusaidia kutimiza azma yako ya kuweka akiba pasipo kuathiri sana bajeti yako ya kawaida ya kila siku. Maeneo hayo nitazungumzia kwa pande mbili, kwa wafanyabiashara na kwa wafanyakazi kila mmoja na maeneo yake;
KWA WAFANYABIASHARA.

...............................................................................................................

Somo hili zima litafundishwa katika GROUP LA MICHANGANUO ONLINE leo usiku, Masomo kama haya hupatikana kila siku katika group hilo ambalo kiingilio chake ni shilingi elfu 10 tu na hamna ukomo wa muda, ni kila siku mwaka mzima na kuendelea.


Unapata pia fursa ya kujifunza kwa kina jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara mbalimbali, tunakupatia kozi hiyo nzima punde tu unapojiunga pamoja na vitabu na masomo yaliyopita siku za nyuma.

Semina na Masomo yaliyopita vyote tunakupatia pindi unapojiunga na unaweza ukavipakua katika channel yetu ya Telegramu muda wowote ule uutakao ikiwa utavipoteza.

KULIPIA ADA YA GROUP TUMA FEDHA SH. ELFU 10 KWENYE NAMBA 0712202244 AU 0765553030 JINA PETER AUGUSTINO TARIMO,

KISHA TUMA PIA ANUANI YAKO YA EMAIL AU NAMBA UNAYOTUMIA WHATSAPP IKIAMBATANA NA UJUMBE “NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO ONLINE”

UTAUNGANISHWA NA GROUP MUDA HUOHUO PAMOJA NA KUTUMIWA KILA KITU TULICHOAHIDI .0 Response to "MAENEO USIYOTARAJIA UNAYOWEZA KUPATA PESA KWA AJILI YA KUWEKA AKIBA KILA MWEZI"

Post a Comment