MAMBO MAZURI HUJA PALE UNAPOFANYA KAZI KWA BIDII HUKU UKIWA HAUNA MATARAJIO MAKUBWA SANA. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAMBO MAZURI HUJA PALE UNAPOFANYA KAZI KWA BIDII HUKU UKIWA HAUNA MATARAJIO MAKUBWA SANA.



Hii nimewahi kuiexperience mwenyewe binafsi na ni hivi karibuni tu nimekuja kulithibitisha hili katika shughuli zangu za biashara. Ni rahisi sana mtu kuwa na hamasa kubwa wakati biashara au mambo yako  yanapokuwa yakienda vizuri, maana yake ni kipindi kile ambacho pesa inaingia vizuri na mzunguko wako wa fedha ni chanya muda wote.

Kipindi kama hicho unaweza kufanya jambo lolote kuwa rahisi  kutokana na msukumo mkubwa unaokuwa nao kutoka katika nafsi yako. Lakini kwa upande mwingine wa shilingi, utakubaliana na mimi kwamba kuendelea kuwa na hamasa kubwa na moyo wa kutokukata tamaa(mtazamo chanya) kipindi kama hicho ambapo mambo ni magumu na mtiririko wako wa fedha upo chini ni jambo gumu sana linalohitaji nguvu za ziada.

Kama nilivyotangulia kusema kwamba jambo hili nina uzoefu nalo katika shughuli na biashara zangu ninazozifanya ikiwemo hii ya uandishi, kuna kipindi hutokea mambo hasa biashara kutokwenda vizuri  hata kidogo, huoni pesa na hata wakati mwingine unakuwa ukikabiliwa na madeni kila kona. Unahisi kukata tamaa kabisa kiasi cha kujiuliza ikiwa biashara unayoifanya ni sahihi au siyo sahihi.

Mpenzi msomaji somo hili tunakwenda kujifunza leo katika Darasa letu la WHATSAPP ndani ya Group la MICHANGANUO-ONLINE kuanzia saa 3 mpaka saa 4 usiku. Kiingilio ni shilingi elfu 10 na Masomo ni kila siku. 

SIMU:                0712202244 
WHATSAPP:     0765553030. 

Unapojiunga unapewa masomo na semina zote zilizopita. Badhi ya vitu mbalimbali tunavyotuma ni pamoja na hivi vifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

3.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

4.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

5.  Mfululizo wa Tafsiri ya kitabu mashuhuri zaidi cha pesa, FIKIRI UTAJIRIKE
6.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

7.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

8.  Masomo yote yaliyopita katika group kuhusu MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.

9.  Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

10.      Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

11.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.

0 Response to "MAMBO MAZURI HUJA PALE UNAPOFANYA KAZI KWA BIDII HUKU UKIWA HAUNA MATARAJIO MAKUBWA SANA."

Post a Comment