STRESS ZA PESA ZINAVYOWEZA KUZIMA KABISA NDOTO ZA MTU NA HATUA ZA KUCHUKUA HARAKA


SHIDA YA PESA INAVYOSABABISHA MSONGO WA MAWAZO
Madeni, kushindwa kumudu mahitaji ya kila siku pamoja na kukosa muda wa kutosha kujumuika na familia kunakosababishwa na matatizo ya fedha ni chanzo kikubwa sana cha vifo vya baadhi ya watu pasipo wao wenyewe kujijua. Tatizo hili ni muuaji wa taratibu(silent killer)

Matatizo makubwa mawili kiafya yanayowapata binadamu kutokana na dhiki ya fedha ni wasiwasi na msongo wa mawazo. Vitu hivi kwa kiasi kikubwa sana ndivyo vinavyohusishwa na magonjwa hatari ya moyo, kiharusi, vidonda vya tumbo, kisukari, kukosa usingizi, shinikizo la juu la damu na matatizo mengine mengi.


Magojwa haya yana uwezo wa kuudhoofisha mwili wa mtu na kumzuia kabisa asiweze kufurahi na familia yake, kupunguza uwezo wa kufanya kazi wa mtu na mwishowe kuzidisha mara dufu matatizo na dhiki za kifedha kwa mhusika.

Kwa hiyo mtu unapokuwa na mfadhaiko au ‘stress’ zitokanazo na matatizo ya fedha, kitu cha kwanza kabisa siyo kuanza kufikiria sana matokeo mabaya yatokanayo na wewe kushindwa kulipa madeni au kutomudu mahitaji yako ya msingi ya kila siku, bali cha kuanza kufanya ni kuwaza njia mbalimbali unazoweza ukazitumia ili kuweza kuboresha tena hali yako kifedha. Ikiwa utaendekeza hofu na mashaka, utashindwa kabisa kukabiliana na hali hiyo na mwisho utakaribisha magojwa yaliyotajwa hapo juu na kuzidisha hali kuwa mbaya zaidi.


………………………………………..
Ndugu msomaji mada hii ni somo tunalokwenda kujifunza leo katika Semina zetu za kila siku ndani ya GROUP la WHATSAPP la MICHANGANUO ONLINE, Tutachambua kwa kina zaidi jinsi stress zinavyoweza kusababisha madhara makubwa na hatua madhubuti za kuchukua haraka pindi mtu anapojikuta kwenye hali kama hiyo kabla hajapatwa na madhara zaidi.


Ndani ya group hili kila siku saa 3-4, tunajifunza masomo kuhusiana na Michanganuo ya biashara bunifu zinazolipa pamoja na jinsi ya kuboresha Mizunguko ya fedha katika biashara zetu.

Mbali na masomo hayo ya kila siki pia tunatoa ofa ya vitu mbalimbali vifuatavyo katika mfumo wa softcopy pindi mtu anapojiunga.

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo 11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

3.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

4.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

5.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

6.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

7.  Masomo yote yaliyopita katika group la whatsapp la MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.

8.  Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

9.  Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

10.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.

Kwa ambaye hatumii WHATSAPP hamna shida, atasoma kupitia EMAIL na blogu ya private. Kiingilio ni shilingi elfu 10 ambayo ni ada ya kudumu mwaka mzima na kuendelea.

Vitabu pia vinapatikana softcopy na hardcopy tazama majalada yake hapo chini.

WHATSAPP: 0765553030
SIMU:            0712202244
JINA: Peter Augustino Tarimo


Softcopy  10,000
 Hardcopy 22,000Softcopy  5,000
 Hardcopy 10,000
Softcopy  3,000
 Hardcopy 5,000


  

0 Response to "STRESS ZA PESA ZINAVYOWEZA KUZIMA KABISA NDOTO ZA MTU NA HATUA ZA KUCHUKUA HARAKA"

Post a Comment