NI ROBO YA MWAKA SASA, BADO UPO KWENYE MSTARI WA MALENGO ULIYOJIWEKEA JANUARI? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

NI ROBO YA MWAKA SASA, BADO UPO KWENYE MSTARI WA MALENGO ULIYOJIWEKEA JANUARI?

Kumekuwa na mitazamo tofauti kuhusiana na uwekaji wa malengo hasa yale ya mwaka au ya muda mrefu na jambo hili limekuwa likiwachanganya sana watu kutokana na ukweli kwamba kuweka malengo ni kitu kimoja na kuyatekeleza ni kitu kingine tofauti kabisa. Tumekuwa tukiweka malengo kila mwaka, kila wakati, wapo wanaotimiza malengo yao lakini wengi wanashindwa njiani.

Katika somo la leo ndani ya Group la Whatsap la MICHANGANUO ONLINE, BLOGU YA PRIVATE YA MICHANGANUO na KUPITIA EMAIL, tutajifunza somo hili ikiwa kwanza ndio robo ya mwaka huu toka uanze. Tathmini yako ikoje?  na ni vitu gani wale wanaofanikiwa huwa wanavitumia vinavyowafanya wasitupe malengo yao mapema tu kabla hata ya JUNE kufika. Somo lina dondoo 5 muhimu sana ambazo hakuna lengo lolote lililokuwa na jeuri ya kuzishinda.

Kumbe uwekaji wa malengo hauna matatizo bali matatizo huja kuibuka njiani na kuanza kukutatiza mpaka umeachana na malengo yako kabisa. Ni wakati sahihi sasa kumbaini adui wa malengo yako kabla hajafanikiwa kuyatafuna yote.

Siyo lazima uwe na WHATSAPP ndiyo uweze kupata masomo  haya, ukiwa na email pia inatosha kwani pamoja na masomo kuwekwa katika blogu maalumu ya private lakini pia ukitaka tunakutumia inbox kwenye email yako kila kitu.

Kiingilio ni shilingi elfu 10, ambazo hulipwa kupitia simu ya mkononi kwa namba, 0712202244  au  0765553030  jina Peter Augustino Tarimo. Namba ya whatsapp ni 0765553030.

Pamoja na kupata masomo haya kila siku usiku saa 3, lakini pia punde unapokuwa tu umelipia hivi, tunakutumia softcopy za vitu mbalimbali na vitabu kama ifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo 11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

3.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

4.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

5.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

6.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

7.  Masomo mengine yote yaliyopita katika group la whatsapp.

8.  Mfumo wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

9.  Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

10.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.

0 Response to "NI ROBO YA MWAKA SASA, BADO UPO KWENYE MSTARI WA MALENGO ULIYOJIWEKEA JANUARI?"

Post a Comment