NAANZA HATUA KWA HATUA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

NAANZA HATUA KWA HATUA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA.


KUKU WA NYAMA BROILERS
Awamu iliyopita katika GROUP LA WHATSAPP LA MICHANGANUO ONLINE tulikuwa na mfululizo wa masomo ya michanganuo yaliyokuwa yakisema, “HATUA KWA HATUA NILIVYOANDIKA MCHANGANUO WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI” Baada ya kumaliza awamu hiyo, kwa sasa tunaingia awamu nyigine tena mpya, “Naanza hatua kwa hatua kuandika mchanganuo wa biashara ya ufugaji wa kuku wa nyama(BROILERS).” Jina la mradi huo ni, KEVI QUALITY POULTRY


Awamu hiyo itaanza leo katika Group, na tofauti na awamu iliyotangulia hii tunaandika hatua kwa hatua, siyo tena ‘jinsi nilivyoandika’, maana yake ni kwamba ndiyo tunaandika mchanganuo ambao bado haukuwa umeandikwa bado. Mchanganuo huo wa kuku wa nyama hata hivyo Sura inayohusiana na fedha ilikuwa imekwisha andikwa(MAKISIO YA FEDHA) na baadhi ya watu wakiwemo wanagroup walikuwa tayari wameshapata makisio hayo. Hivyo tunachofanya sasa ni kuandika hatua kwa hatua Sura na sehemu nyingine zote zilizobakia.

Kwenye kundi la WHATSAPP LA MICHANGANUO ONLINE huwa tunakuwa na masomo ya kila siku kuhusiana na MICHANGANUO YA BIASHARA na MZUNGUKO WA FEDHA kuanzia saa 3 mpaka saa 4 usiku. Katika Group pia kuna watoa masomo wengine mbalimbali wanaofundisha mambo mbalimbali ya ujasiriamali mbali na Admin wa group hili  na vile vile mshiriki yeyote yule mwenye mchango au somo lolote la ujasiriamali analotaka kushea na wanagroup wengine anaruhusiwa kufanya hivyo bila kipingamizi. Group hili lina wadau wengi katika sekta ya ufugaji wa kuku hivyo kwa aliye na interest na fani hii hapa ndiyo mahali pake.

SOMA: Kilichokuwa nyuma ya pazia ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Kujiunga na GROUP hili ada ni shilingi elfu 10, na unapata uanachama wa kudumu bila gharama zozote za ziada. Pamoja na kuunganishwa na group lakini pia unapewa muda huohuo ulipojiunga ofa ya vitu mbalimbali vyenye mafunzo ya hali ya juu vifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili

2.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

3.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

4.  Kuunganishwa na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.

5.  Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

6.  Masomo mengine yote yaliyopita katika group la whatsapp.

7.  Mfumo wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

8.  Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

Kwa mawasiliano au ukitaka kujiunga na mpango huu tumia namba zifuatazo;

SIMU:              0712202244,   0765553030
WHATSAPP :  0765553030

JINA: Peter Augustino Tarimo

0 Response to "NAANZA HATUA KWA HATUA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA."

Post a Comment