KIPATO CHA ZIADA AMBACHO WATU WENGI HAWAKIJUI


Kipato cha ziada ninachokizungumzia hapa au kwa kimombo, PASSIVE INCOME, maana yake ni kipato mtu anachoingiza iwe amefanya kazi au hajafanya, ni kinyume na ajira au biashara inayokuhitaji muda wote uwe pale ndipo kazi iweze kufanyika na kipato kiingie.

Ili mtu yeyote aweze kuufikia UHURU WA KIFEDHA, anatakiwa kuwa na uwezo wa kulipia mahitaji yake yote ya msingi pamoja na hata yale yasiyokuwa ya msingi na bado mtu huyo kuishi bila ya kuhitaji kufanya kazi kutimiza mahitaji hayo. Hii ni sawa na kusema kwamba, ili uwe na Uhuru kifedha basi inakubidi kuwa na Kipato ambacho kuingia kwake hakutegemei wewe kufanya kazi, kinaweza kuingia ukifanya kazi au hata ukiwa haufanyi kazi.

SOMA: Wakati madeni mtu wa kawaida ni nuksi kwa matajiri ikoje?

Imezoeleka na watu wengi kuwa kipato cha ziada, Passive income, mara nyingi hutokana na shughuli zifuatazo tu za kiuwekezaji;
·       Kodi itokanayo na upangishaji wa majumba,
·       Riba kutokana na akaunti ya benki,
·       Gawio la uwekezaji kwenye biashara/kampuni, na
·       Mirahaba kutokana na kazi za sanaa, muziki na utunzi wa vitabu.

Kodi ya nyumba kwa mfano, mmiliki wa nyumba wapangaji watakulipa pango na kazi pekee utakayoifanya wewe ni kukusanya kodi yenyewe na pengine kufanya matengenezo madogomadogo, kazi ambazo huwezi ukasema zisipofanyika kipato kinaweza kukoma.

Lakini inasahaulika mara nyingi kwamba kuna njia nyingine KUBWA mtu anayoweza akatengeneza kipato cha ziada nje ya shughuli zake za kila siku(passive income) tofauti kabisa na hizo zilizotajwa hapo juu.

Ni kipato kipi hicho?
Kipato hiki kitazungumziwa katika somo letu la leo kwenye group la WHATSAPP LA MICHANGANUO ONLINE saa 3 mpaka saa 4 usiku. Tutachambua kipato hicho kwa kina na jinsi mtu anavyoweza kukitumia kuufikia uhuru wa kweli kifedha(real financia freedom), namna rahisi ya kutambua kiasi cha fedha unachohitaji ili uweze kuwa huru kifedha na mambo mengine mengi.

Semina zetu za kila siku ndani ya GROUP zimerudi tena rasmi baada ya kitambo kifupi, offa zimeongezeka na baadhi ya nyingine kuboreshwa zaidi. Baada ya kujiunga kwa masomo ya kila siku, tunakutumia muda huohuo vitu(OFFA) zifuatazo bila malipo ya ziada.

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI katika lugha ya Kiswahili.

2.  Masomo yote yaliyopita katika group la whatsaap kuhusu michanganuo.

3.  Masomo yote yaliyopita kwenye group la whatsapp kuhusu mzunguko wa pesa.

4.  Kitabu, HOW TO WRITTE BUSINESS PLAN, maarufu zaidi na kinachotumiwa na vyuo vikuu vingi duniani.


5.  Kifurushi cha Michanganuo 3 ya biashara ya ufugaji wa kuku, (MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS), kuku wa nyama, kuku wa mayai na kuku wa kienyeji.

6.  Business plans templates(vielezo) kwa kiswahili na kiingereza unavyoweza kutumia kuandika mpango wa biashara yako haraka na kwa urahisi zaidi.

7.  Mfumo wa usimamizi wa biashara ya duka la rejareja (TWO IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mwenye duka kutoibiwa kirahisi na wasaidizi wake.

Ada ya kujiunga na GROUP la whatsapp la MICHANGANUO ONLINE ni shilingi Elfu 10 tu, na unapata uanachama wa kudumu kwa muda wote bila gharama za ziada zilizojificha.

Kama unahitaji kujiunga na mpango huu wasiliana nasi kwa WHATSAPP, 0765553030 au simu 0712202244
Jina: Peter Augustino Tarimo.

0 Response to "KIPATO CHA ZIADA AMBACHO WATU WENGI HAWAKIJUI"

Post a Comment