NILIVYOANDIKA MCHANGANUO BUNIFU WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI, BIASHARA 12 ZA KIPEKEE 2018 SEHEMU-2

Mpango wa biashara kuku wa mayai wa kienyeji
Kwenye group la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE, ambalo tunakuwa na mafunzo ya semina kila siku usiku saa 3 mpaka saa 4, baada ya kuanza wiki iliyopita washiriki waliomba wapate kwanza muda wa kupitia materials(masomo) waliyopewa mara ya kwanza pamoja na vitabu kwani yalikuwa mengi mno halafu ndipo tuendelee na utaratibu wetu wa kawaida wa kusoma masomo kila siku. Masomo makuu tunayojifunza kila siku ni haya hapa chini;

1)  Jinsi ya kuandika mpango wa biashara hatua kwa hatua mpaka umeelewa
2)  Biashara bunifu za kipekee zinazolipa haraka zaidi.
3)  Jinsi ya kuongeza mzunguko wako wa fedha na elimu ya fedha kwa ujumla wake.

Baada ya kitambo hicho kidogo kupita, leo tena tumeanza utaratibu wetu wa kawaida wa kusoma masomo kila siku. Somo letu la leo linahusu mchanganuo bunifu wa mwezi wa kwanza ambao ulikuwa ni biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai ya kienyeji na somo linaendelea kutoka lilipoishia, Leo nitaeleza kwa kina baada ya kupata wazo hilo akilini jinsi nilivyofanya utafiti wa maswala mbalimbali mpaka nikamaliza kabla sijaanza kuandika mchanganuo wenyewe.

Nitaeleza njia zote nilizotumia katika utafiti huo, maeneo na watu niliowafuata kuonana nao ana kwa ana, majibu tofautitofauti niliyoyapata, uchanganuzi wa majibu hayo ni yapi niyatumie na ni yapi niache nk. Nitaeleza pia njia nilizotumia ili kupata mbinu za kipekee zilizotumika katika mradi huu kusudi uweze kuleta faida, niliangalia ni vitu gani na kutoka wapi?

Nakukaribisha sana leo uje ili tuweze kujifunza pamoja.

Kiingilio katika group hili(masomo haya) ni shilingi elfu 10 tu, na utasoma muda wote mpaka masomo yaliyopita. Mbali na masomo hayo ya kila siku pia mara unapolipia tu, tunakutumia zana zifuatazo(on the spot)

1.  Kitabbu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI katika lugha ya Kiswahili.
2.  Masomo ya msingi 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3.  Templatets(VIELEZO) vya kuandika mpango wa biashara unavyoweza kutumia kwa kufuatisha ukajaza tu taarifa zako na kukamilisha mpango wako haraka na kwa muda mfupi.
4.  Baadhi ya mipango ya biashara isiyokuwa ndani ya kitabu.
5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani cha michanganuo ya biashara “How to write a business plan” ndiyo kinachotumika katika vyuo vingi vikubwa vya biashara duniani.
6.  Somo muhimu la mzunguko wa fedha na jinsi ya kuwa na nidhamu ya hali ya juu kifedha.

Siyo lazima uwe na WHATSAPP ndipo uweze kusoma kozi hizi, unaweza pia kusoma kupitia EMAIL yako masomo tunakutumia kwa email na katika blogu ya private inayoweza kufikiwa na washiriki tu. Watsapp ni njia ya kurahisisha tu kwa wale wasiotaka kufungua fungua email zao au kutembelea blogu kila mara.

Namba za malipo ni;
0712202244  au  0765553030
Jina hutokea, Peter Augustino Tarimo.
WHATSAPP tumia namba 0765553030, tuma ujumbe wa “NIUNGANISHE GROUP LA MICHANGANUO ONLINE”
Tuma pia na anuani yako ya GMAIL kwa ajili ya kuunganishwa na blogu ya private ya masomo.

  

0 Response to "NILIVYOANDIKA MCHANGANUO BUNIFU WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI, BIASHARA 12 ZA KIPEKEE 2018 SEHEMU-2"

Post a Comment