MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI HATUA KWA HATUA

biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa ajili ya mayai
Katika semina yetu inayoendelea katika group la whatsapp la MICHANGANUO ONLINE leo hii tarehe 6 Febr. 2018 nimeendelea na somo letu la jinsi nilivyoandika hatua kwa hatua mchanganuo wa biashara ya ufugaji wa kuku wa asili(kienyeji) kwa ajili ya mayai na nimeeleza jinsi nilivyoandika kipengele kinachohusiana na bidhaa ambayo ni MAYAI. Kesho katika semina hii nitakuwa na somo kuhusiana na Mzunguko chanya wa fedha hivyo karibu sana tuwe pamoja.

Semina hizi ni kila siku na kiingilio chake ni shilingi elfu 10 tu kwa mwaka wote wa 2018 na kuendelea. Kama unapenda kujiunga tuma ujumbe kwa wassap 0765553030 ukisema NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO au wasilina nasi kwa nammba 0712202244. Siyo lazima uwe unatumia watsap ndipo uweze kujiunga na semina hizi, masomo pia tunatuma kwa njia za email na katika blogu ya private ya michanganuo.


Tunatoa offa ya vitabu, michanganuo halisi, masomo yote yaliyopita katika semina za nyuma na fursa ya kushiriki semina zingine zote zijazo.

0 Response to "MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI HATUA KWA HATUA"

Post a Comment