SEMINA AWAMU YA 3: MCHANGANUO WA SALUNI YA KIKE, HUDUMA, SOKO & UONGOZI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SEMINA AWAMU YA 3: MCHANGANUO WA SALUNI YA KIKE, HUDUMA, SOKO & UONGOZI

Ikiwa leo ni siku ya pili ya awamu ya 3 ya semina yetu ya jinsi ya kuandaa mpango wa biashara, Tunachanganua biashara ya saluni ya kike iitwayo Rose Hair & Beauty Saloon iliyopo Mwenge jijini Dar es salaam. Vipengele tutakavyoangazia ni Huduma, Soko na Uongozi.

Hii siyo fursa ya kukosa hata kidogo, kwani ukishalipa kiingilio chako shilingi elfu 10(10,000) unapewa tiketi ya kudumu kwa semina zote zinazofuata baada yah ii zinazohusiana na michanganuo ya biashara, si hivyo tu unapata fursa pia ya kusoma awamu nyingine 2 za semina zilizopita pamoja na kupewa vitabu free of charge vya namna ya kuandika michanganuo ya biashara vya kiswahili na kiingereza.


Kujiunga na DARASA HILI LA SEMINA, lipa kiingilio chako shilingi elfu 10 kupitia tigo pesa 0712202244   au  M-pesa 0765553030 majina ni Peter Augustino Tarimo. Tuma pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno anuani yako ya email aina ya GMAIL na baada ya hapo utapokea meseji kwenye email yako hiyo iliyokuwa na link ya Blogu ya masomo pamoja na masomo yenyewe.





0 Response to "SEMINA AWAMU YA 3: MCHANGANUO WA SALUNI YA KIKE, HUDUMA, SOKO & UONGOZI"

Post a Comment