MPANGO WA FEDHA SALOON YA KIUME: BOYS TO MEN BERBER SHOP | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MPANGO WA FEDHA SALOON YA KIUME: BOYS TO MEN BERBER SHOP

SALOON YA KIUME

Awamu yetu ya tatu ya semina ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara leo hii ndiyo inafika tamati, simaanishi kwamba ndiyo imekwisha la hasha, bali ninachomaanisha ni kwamba sisi kwa upane wetu tumemaliza kazi ya ya kuandaa masomo kwa ajili ya awamu ya pili ya semina hii na kuyaweka katika blogu hii ya “MASOMO YA SEMINA YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA”.(kuingia kwenye blogu hiyo ni kwa wale waliolipa kiingilio tu)

Kazi sasa ni kwa wewe tu ndugu msomaji ikiwa unahitaji kujifunza masomo haya unakaribishwa kwa mikono miwili uje ujiunge kupitia namba za simu 0712 202244  au  0765 553030 kwa kulipa kiingilio au ada ambayo ni shilingi elfu 10 za kitanzania na kisha unapata fursa ya kusoma masomo yote kuanzia awamu ya kwanza iliyopita pamoja na awamu nyingine zote zinazofuata mpaka umeelewa kabisa kuandika mpango wa biashara yeyote ile.

Katika awamu hii ya pili tulikuwa tukichambua mpango wa biashara ya saluni ya kiume ijulikanayo kama Boys to Men Barber Shop iliyopo mtaaa wa Agrey Kariakoo jijini Dar es salaam. Tangu juzi tulianza na vipengele vya Biashara, Huduma, Mikakati, Utekelezaji, Utawala na Nguvukazi. Jana tukachanganua Soko kwa kina na leo hii tunachambua sehemu ya fedha kwa mapana kabisa.

Kwa kusoma awamu zote tutakazokuandalia tuna uhakika utaweza kuandika mpango wa biashara yeyote ile bila wasiwasi, siyo hivyo tu, pia utaweza kuendesha biashara yako kwa ufanisi wa kiwango cha juu kabisa kwani mpango wa biashara ni kila hatua mtu unayopitia katika mchakato mzima wa biashara kuanzia wazo mpaka kupata faida, mpango wa biashara pia unakuwezesha kufikiria mchakato huo kwa kina kabla ya kuanza kuifanya biashara yenyewe hivyo kukuzidishia uwezekano wa kufanikiwa katika biashara husika.

Hata ikiwa wewe siyo mpenzi wa kuandika, kwa kuisoma na kuipitia tu michanganuo hii mbalimbali iliyokwisha andikwa tayari itakupa uwezo mkubwa wa kufikiria picha kubwa zaidi katika tasnia ya biashara mbalimbali. Unajifunza biashara jinsi zinavyoendeshwa, makosa mbalimbali wenzako wanayopitia ambayo wewe hupaswi tena kuja kuyafanya, kwa ufupi una rahisisha njia.

Usikubali uje ujifunze moja kwa moja kupitia uzoefu wako mwenyewe ambayo ni njia ngumu na itakayokuchukua muda mwingi, okoa muda na pesa, kila tatizo au changamoto utakayopitia wapo watu waliokwishazipitia tayari hata kama siyo hapa Tanzania basi ujue hata ni katika nchi zilizoendelea.

Jiunge na semina hii kupata vitu vingi kwa bei hiyohiyo moja, unapata vitu vifuatavyo;

ü Masomo ya awamu zote za semina zilizopita na zitakazokuja,

ü Vitabu vya michanganuo ya biashara, cha kiswahili(pdf Michanganuo na Ujasiriamali) na cha kiingereza kutoka kwa mwandishi maarufu zaidi duniani wa michanganuo (The most read Business plans Book ever),


ü Templates au vielezo kwa kiswahili na kwa kiingereza,

ü Mpango wa biashara ukurasa mmoja kwa wale wasiopenda kuandika kurasa nyingi.

ü Mipango ya biashara isiyokuwa katika kitabu kama vile ya ufugaji wa kuku wa mayai, kilimo cha matikiti nk.

ü Michanganuo mbalimbali katika lugha ya kiingereza.

Vitu vyote hivyo unavipata kwa shilingi 10,000/= tu. Hii ni offa na itakapomalizika kila kitu kitauzwa chenyewe kwa bei halisi. Nakusihi usichelewe usijekuniambia hukujua. Tuma ada na anuani yako ya e-mai(GMAIL) kwenye moja ya namba zetu, 0712202244  au  0765 553030  jina hutokea Peter Augustino Tarimo. Utaunganishwa nab BLOGU YA MASOMO pamoja na kutumiwa masomo ya pdf & mp3 kupitia email hiyo.


TUPO MBEZI KWA MSUGURI JIRANI NA STENDI YA DALADALA.

0 Response to "MPANGO WA FEDHA SALOON YA KIUME: BOYS TO MEN BERBER SHOP"

Post a Comment