RIPOTI YA AJABU: TUMIA NJIA ZOTE KUPATA PESA ILIMRADI USIFUNGWE JELA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

RIPOTI YA AJABU: TUMIA NJIA ZOTE KUPATA PESA ILIMRADI USIFUNGWE JELA

Makala kutoka kipindi cha “Vijana tugutuke” cha  Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani( DW) inayoelezea ripoti ya Taasisi ya Afrika Mashariki ya Chuo kikuu cha Aghakan  juu ya mtizamo wa  vijana nchini Kenya. 
Kijana tayari akitoa rushwa mfukoni.   
Inaonyesha karibu nusu ya vijana nchini Kenya wanaamini kuwa haijalishi  ni kwa namna gani mtu anatengeneza au kupata pesa mradi tu hatajikuta gerezani, lakushangaza ni kwamba vijana hao, wanakiri kuwa wanawatamani wale ambao hujikusanyia mali kwa kutumia mbinu chafu, asilimia 30% wanaanini kuwa ufisadi una faida na asilimia nyingine 35% wanaamini wako tayari kutoa hongo.
Ungana na DW kusikiliza ripoti hiyo kamili ya kushangaza;

0 Response to "RIPOTI YA AJABU: TUMIA NJIA ZOTE KUPATA PESA ILIMRADI USIFUNGWE JELA"

Post a Comment