![]() |
| Uwanja wa michezo lilipochezwa Kombe la Dunia, FNB na mahali Madiba alipofanyiwa kumbukumbu ya mwisho na viongozi wa Dunia. |
![]() |
| Viongozi wa Dunia wakiwa wamekaa. |
![]() |
| Wake za Mzee Mandela, kushoto kabisa ni Bi Winnie Madikizela na kulia mwisho ni Bi Graca Machel |
![]() |
| Bi Winnie Madikizela Mandela alipokuwa akiingia uwanjani. |
![]() |
| Familia nzima, mstari wa mbele ni bintiye Mandela Zindzi, Zenani na Makaziwe Mandela, mkewe wa zamani Winnie Makidizela na Mjane wake Graca Machel muda mfupi kabla ya ibada |
![]() |
| Rais Barak Obama na Mkewe. |
![]() |
| Mjane wa Mzee Nelson Mandela, Bi Graca Machel akifarijiwa na Rais wa Marekani Barak Obama. |
![]() |
| Rais wa Marekani Barak Hussein Obama na mkewe wakiingia ndani ya uwanja wa FNB |
![]() |
| Pengine kama siyo huyu, FW de Klerk, Rai wa mwisho wa Makaburu Madiba angefia gerezani |
![]() |
| Askofu Desmonds Tutu na Koffi Anang |
![]() |
| Rais wa zamani wa Ireland Bi Mary Robinson (kushoto) akisalimiana na Askofu Emeritus Desmond Tutu walipoingia viwanja vya FNB |
![]() |
| Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza John Major |
![]() |
| Waziri Mkuu wa Uingereza Tonny Blaire |
![]() |
| Mrithi wa Nelson Mandela na Rais wa pili mweusi wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki akiwa na mkewe wakiwasili uwanjani tayari kwa ibada ya kumuaga Mtangulizi wake. |
![]() |
| Mmoja wa waombolezaji |
![]() |
| Mvua haikuwa kikwazo bali ishara njema ya neema na matumaini. |
![]() |
| Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya naye pia alikuwepo. |



.jpg)







.jpg)



.jpg)



0 Response to "KUMBUKUMBU YA NELSON MANDELA MEMORIAL: WORLD LEADERS IN SA, TAZAMA PICHA VIONGOZI WA DUNIA WAKIMUAGA MZEE MADIBA "
Post a Comment