BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA BAGAMOYO. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA BAGAMOYO.

Abiria wakitafuta mizigo yao baada ya ajali kutokea.

Basi la Meridian linalofanya safari zake Dar es Salaam na Rombo Mkoani Kilimanjaro limepata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo mkoani Pwani likitokea Rombo  kuelekea jijini Dar es Salaam. Abiria kadhaa wamepoteza maisha katika ajali hiyo mbaya lakini idadi kamili bado haijatambulika. Limekatika siti zipo nje. Dereva bado hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo na abiria wengine pia wamefariki.

Chanzo: Emanuel Shilatu Blog

0 Response to "BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA BAGAMOYO."

Post a Comment