Kama wewe ni muuzaji wa laptop mpya na used unakaribishwa katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na wanunuzi wa Laptop
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule
utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo
kabisa na picha nzuri ya bidhaa yako tukuwekee hapa
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa laptop mpya ama used nikimaanisha
unataka kununua laptop mpya au used kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza
kukutana na wauzaji/muuzaji wa laptop mpya na used kwa bei ya jumla na rejareja
bure kabisa bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale
waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya laptop mpya
na used
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo;
0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI AU UNUNUZI WA LAPTOP MPYA NA USED
KARIBUNI
SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA LAPTOP MPYA NA USED"
Post a Comment