Kama wewe ni muuzaji wa Chaja za simu unakaribishwa katika
blogu hii ya jifunzeujasiriamali kutangaza biashara yako uweze kukutana na
wanunuzi wa Chaji za simu.
Gharama ya kuweka tangazo lako katika ukurasa huu ni
kidogo mno karibia kabisa na bure na unaweza ukatangaza kwa muda wowote ule
utakao wewe iwe ni mwezi mmoja, miwili, mitatu na kuendelea ni wewe tu.Njoo
kabisa na picha nzuri ya tangazo lako tukuwekee
Aidha pia kama wewe ni mnunuzi wa Chaji za simu nikimaanisha unataka kununua Chaja
za simu kwa bei rafiki, katika ukurasa huu unaweza kukutana na wauzaji/muuzaji
wa Chaji za simu jumla na rejareja bure kabisa
bila ya malipo yeyote yale.
Kwa matangazo yaliyokwishawekwa tayari hapa, shuka chini
(scroll down) ukurasa huu utayaona na ikiwa bado hakuna wauzaji wowote wale
waliojitokeza basi hutaona tangazo lolote kuhusiana na biashara ya Chaja za simu za mkononi
Kwa upande wa wauzaji/muuzaji tu: Ili kuweka tangazo lako
hapa wasiliana na sisi kupitia watsap, sms au simu kwa namba zifuatazo;
0765553030 / 0712202244 au 0761002125
MATANGAZO:
Hakujawa
na tangazo bado, kuwa wa kwanza kuweka tangazo lako hapa LINALOHUSIANA NA
UUZAJI WA CHAJA ZA SIMU ZA MKONONI AU SIMU ZA AINA
NYINGINEZO
KARIBUNI
SANA!

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA CHAJA ZA SIMU"
Post a Comment