ZAO LA PILIPILI, WAUZAJI NA WANUNUZI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

ZAO LA PILIPILI, WAUZAJI NA WANUNUZI

Kama wewe ni muuzaji wa pilipili aina yeyote ile unakaribishwa kujitangaza kwenye blogu hii kwa gharama kidogo sana, na kama wewe ni mnunuzi wa zao la pilipili aina zozote zile unakaribishwa pia uweze kukutana na wauzaji wa zao la pilipili kwa bei nzuri hapa. Bei ya zao la pilipili hutegemea hali ya soko ilivyo. Nafasi hii ipo wazi mtu yeyote yule anaweza akaitumia kutangaza biashara yake ya kuuza pilipili. Njoo na picha yako nzuri inayoonyesha biashara yako ya pilipili tukuwekee wateja waje kwa wingi. Karibuni nyote! Kwa mawasiliano tumia simu/watsap: 0765553030  au 0712202244

 


0 Response to "ZAO LA PILIPILI, WAUZAJI NA WANUNUZI"

Post a Comment