WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA MAHINDI TANZANIA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA MAHINDI TANZANIA

Ikiwa wewe ni muuzaji wa zao la mahindi unakaribishwa kutangaza katika nafasi hii ili uwafikie watu wengi zaidi na ikiwa wewe ni mnunuzi wa zao la mahindi pia karibu ukutane na wauzaji/muuzaji wa zao la mahindi hapa. Njoo na picha yako nzuri inayoonyesha biashara yako tukuwekee hapa.

Nafasi hii mtu yeyote yule anaweza kuitumia kutangaza biashara yake ya mahindi kwa muda wowote ule atakaolipia. Kupata nafasi hii au mawasiliano zaidi namba zetu ni hizi hapa; simu/watsap: 0765553030  au 0712202244

0 Response to "WAUZAJI NA WANUNUZI WA ZAO LA MAHINDI TANZANIA"

Post a Comment