MHTASARI TENDAJI KATIKA MPANGO WA BIASHARA-SOMO LA 04 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MHTASARI TENDAJI KATIKA MPANGO WA BIASHARA-SOMO LA 04

Semina ya kuandika michanganuo ya biashara -somo la 4

SOMO LA 4

1.0 MUHTASARI TENDAJI

Kwenye somo letu hili la nne tutajifunza mambo muhimu yafuatayo hapa chini;-

·       Ni vitu gani muhimu vinavyounda Muhtasari?

·       Mifano ya  mihutasari ya michanganio mbalimbali

·       Aina za muhtasari

·       Muda muafaka wa kuandika Muhtasari

·       Mbinu za kuandika Muhtasari utakaomfanya msomaji yeyote asiweze kukwepa kusoma mpango wako mzima.

 

Katika mlolongo wa sehemu au vipengele vya mpango rasmi wa biashara, Muhtasari au unaweza ukauita Muhtasari Tendaji, unahesabika kama sehemu ya kwanza ya mchanganuo wa biashara yako baada ya Jalada la nje, Jina la mchanganuo na yaliyomo. Ndiyo sehemu muhimu zaidi kwani ndiyo msomaji anayokutana nayo kwa mara ya kwanza kabisa. Isipomvutia basi anaweza asiendelee kusoma sehemu nyingine za mchanganuo wako…………Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online

 

Semina hii iliyofanyika katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap ama email yako.

Kama unahitaji kupata semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.

Kulipia tumia namba zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”

0 Response to "MHTASARI TENDAJI KATIKA MPANGO WA BIASHARA-SOMO LA 04"

Post a Comment