BIASHARAYA KUUZA DAGAA MCHELE NA SAMAKI WA MAJICHUMVI KIUBUNIFU: MCHANGANUO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BIASHARAYA KUUZA DAGAA MCHELE NA SAMAKI WA MAJICHUMVI KIUBUNIFU: MCHANGANUO

Dagaa Mchele
Biashara ya kuuza dagaa mchele na samaki wa majichumvi hasa katika Bahari ya Hindi ni biashara maarufu sana kwa watu waishio mwambao wa bahari hiyo. Miaka na miaka imekuwa ni chanzo kikubwa cha kuwaingizia kipato. Wachuuzi wengi wa dagaa na samaki ni akina mama wanaouzia mitaani kwenye meza na vibanda vidogovidogo.

Kutokana na biashara hii kuzidi kushika kasi ushindani umekuwa mkubwa sana jambo linalofanya baadhi ya  wafanyabiashara ya dagaa mchele na samaki kujikuta wakipata faida kidogo hivyo kufanya biashara ileile miaka yote pasipo kupiga hatua ya maana.

Hata hivyo pamoja na changamoto hii bado wapo baadhi ya wajasiriamali wanaotoboa kiurahisi sana na biashara hii. Ni mbinu zipi wanazozitumia, hakikisha unasoma makala hii mpaka mwisho uweze kufahamu.

Uzuri na faida za kufanya Biashara ya kuuza dagaa mchele na Samaki wa maji chumvi

·       Katika miji kama Dar es salaa, Tanga, Zanzibar na Mtwara wakaazi wake wengi hupendelea kitoweo cha dagaa mchele au samaki kama mboga.

·       Dagaa mchele ni watamu na wana ladha ya kupendeza mdomoni.

·       Ni mboga rahisi kuandaa, mtu anaweza asiwaunge mchuzi na kuamua kurumangia hivyohivyo na ugali.

·       Upatikanaji wake ni rahisi kwani kila siku wavuvi huvua dagaa na samaki baharini

·       Ni biashara endelevu, dagaa na samaki kila siku wapo

·       Bei ya fungu la dagaa ni ndogo kuanzia sh. 1,000/= na hivyo kila mtu anaweza kununua.

Changamoto za biashara ya  Dagaa mchele na Samaki wa majichumvi

·       Ushindani mkali hasa kwa wafanyabiashara wadogowadogo

·       Ni biashara inayotegemea msimu, kuna msimu dagaa na samaki huwa wengi na misimu mingine wanakuwa kidogo hivyo kusababisha bei nazo kubadilikabadilika.

·       Kuharibika haraka-Dagaa na samaki huvuliwa wabichi hivyo wasipohifadhiwa kwenye barafu wanaweza kusababisha hasara kubwa wakiharibika.

 

………………………………………Somo na Mchanganuo kamili vinapatikana Michanganuo-online.

 

Kwa mchanganuo kamili wa biashara ya dagaa mchele na samaki zikiwemo mbinu na mikakati bunifu ya jinsi mtu unaweza kufanikiwa haraka katika biashara hii, ungana na mimi leo tarehe 6/01/2022 katika Group la Michanganuo-online saa 2 – 3 usiku.

Tutakuwa na Biashara bunifu kila siku kwenye group hili na lengo kubwa likiwa ni kuchochea wajasiriamali kubadilisha staili zao za kufanya biashara walizozizoea kila siku ambazo haziwapi fursa ya kutengeneza faida nyingi na haraka.

Kujiunga na Group hili Tuna kiingilio cha shilingi elfu 10 kwa mwaka mzima na ukiwahi OFFA ya mwakampya kabla haijamalizika tarehe 10/01/2022 Utapata Vitabu na Michanganuo yote hapo chini.

Group lina channel ya Telegramu unayoweza kupata pia masomo yote ya zamani tuliyojifunza.

Namba za kulipia ni 0765553030 au 0712202244 Peter Augustino


OFFA YA VITABU NA MICHANGANUO INAYOISHA RASMI TAREHE 10/01/2022

 

                     1.     KITABU: THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION–cha kiswahili

 

                     2.     KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili

 

                     3.     KITABU: MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA –cha kiswahili

 

                     4.     KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili

 

                     5.     KITABU: SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA FEDHA NA MAFANIKIO–cha kiswahili

 

                     6.     KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza

 

                     7.     Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kwakiswahili

 

                     8.     Michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku, kuku wa mayai, kuku wa nyama na kuku wakienyeji-yote kwa kiswahili

 

                     9.     Mchanganuo kamili wa kilimo cha tikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili

 

                   10.   Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa Kiswahili & kiingereza

 

                   11.   Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili

 

                   12.   Mchanganuo kamili wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili

 

                   13.   Vielezo vya michanganuo ya biashara vinayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. -Kwa Kiswahili & kiingereza

 

                   14.   Mchanganuo mfupi wa biashara ya Steshenari (One page Business plan) (NEEMA STESHENARY) -kwa Kiswahili

 

                   15.   Vipengele  vya Mpango wowote ule wa Biashara kwa kiswahili na kwakiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika busiMchanganuo  unaweza kuvifuatisha ukaandika.

 

                   16.   Somo maalumu la mzunguko wa fedha. -Kwa Kiswahili

 

                   17.   Kunganishwa group na Channel ya Michanganuo-online mwaka mzima

 


0 Response to "BIASHARAYA KUUZA DAGAA MCHELE NA SAMAKI WA MAJICHUMVI KIUBUNIFU: MCHANGANUO"

Post a Comment