SEMINA SIKU YA 2: KUFANYA UTAFITI WA SOKO KUKU 2000 WA NYAMA - MKOPO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SEMINA SIKU YA 2: KUFANYA UTAFITI WA SOKO KUKU 2000 WA NYAMA - MKOPO

Kuku wa nyama broiler wakiwa ndani ya banda kubwa

Siyo michanganuo ya kuku tu bali ni michanganuo ya biashara zote kabla mtu hujaanza kuandika chochote ni lazima kwanza ufanye utafiti wa masuala mbalimbali kuhusiana na hiyo biashara ndipo uje uweze kuandika mchanganuo wako. Taarifa mbalimbali unazozipata wakati wa utafiti ndizo zitakazokuwezesha wewe kuandika vinginevyo utakuwa ukiandika riwaya au hadidhi ya kubuni. 

Ni kama vile unajifunza biashara nzima inafanyika-fanyika vipi kisha unachukua yale majibu sahihi tu kulingana na malengo na mazingira yako ndio unayaandika kama mpango wa biashara.

Kwa mfano katika utafiti umegundua kuna mifumo ya aina tatu ya ufugaji wa kuku, mfumo huria (free range system), mfumo wa nusu huria (semi intensive) na mfumo wa ndani (intensive system), kwa hiyo hapa kulingana na aina ya kuku unaotaka kufuga mfano sisi tunataka tufuge kuku wa nyama, tutaamua kuchagua mfumo wa ndani (intensive system),

Baada ya kupata wazo la kufuga kuku wa nyama maarufu kama Broiler, utafiti wetu utajikita zaidi katika maeneo makubwa 4 yafuatayo ingawa siyo lazima yawe ni hayo tu, vipengele vya kufanyia utafiti vyaweza kuwa vingi zaidi ya hivi, tazama katika kitabu chako cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI uk. wa 14 ;

 

·       SOKO

·       KUKU (Bidhaa)

·       USIMAMIZI

·       FEDHA


1. SOKO

Kwa kuwa soko ndio kitu muhimu pengine kushinda vyote ili biashara ifanikiwe ni lazima tufanye uchunguzi iwapo kama wateja watapatikana au la………….Inaendelea…. 

 

……………………………………………

Semina hili inaendelea katika Group la Michanganuo-online Mastermind.

Kupata Semina nzima pamoja na Mchanganuo kamili wa kuku wa nyama 2000 katika kiswahili na kiingereza kwa ajili ya kuombea mkopo Benki au taasisi nyingine za kifedha, karibu ujiunge kwa kulipia ada ya mwaka shilingi elfu 10 tu.

Unapojiunga utaweza kupakua masomo yote ya siku zilizopita zaidi ya 80 pamoja na kupata vitabu na michanganuo free. Utasjifunza semina na masomo yote mengine bure kwa mwaka mzima wa 2022

Kujiunga  lipia kwa namba 0765553030 au 07122202244 kisha tuma ujumbe usemao;

“NIUNGE MASTERMIND-GROUP-2022”

0 Response to "SEMINA SIKU YA 2: KUFANYA UTAFITI WA SOKO KUKU 2000 WA NYAMA - MKOPO"

Post a Comment