SEMINA: MCHANGANUO WA KUOMBA MKOPO BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA 2000 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SEMINA: MCHANGANUO WA KUOMBA MKOPO BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA 2000

Mwanamke akihudumia kuku wa nyama-broiler

Siku ya Jumatatu tarehe 15/11/2021 tutakuwa na semina ya kuandaa mchanganuo wa biashara ya ufugaji wa kuku elfu mbili (2000) kwa lengo la kuomba mkopo binafsi benki au taasisi nyingize za fedha. Itafanyika ndani ya Mastermind group la MICHANGANUO-ONLINE kupitia whatsap.

Hii ni semina ya kuufunga mwaka 2021 na kuufungua mwaka mpya wa 2022 ambapo kama ilivyo kwa miaka mingine iliyopita huwa inaambatana na zawadi (OFFA).

Kiingilio cha semina ni sh. Elfu 10 ambapo mshiriki utapata vitabu na vitu vingine (15) mbali na semina yenyewe punde tu unapolipia ada yako kuanzia sasa hivi;  

(Thamani halisi ya hii offa ni Tsh. 60,000/=)

Hii siyo fursa ya kukosa, ukiikosa ni mpaka mwakani tena muda kama huu na pia idadi ya watu ni 30 tu darasa likamilike,inawezekana hata kabla ya hiyo tarehe 15 nafasi zikawa zimeshajaa hivyo ikiwa unahitaji basi changamkia offa mapema iwezekanavyo tusije kulaumiana, “ooo! Peter imekuwaje tena.”

Kulipia tumia namba, 0765553030 au 0712202244 jina ni PETER AUGUSTINO TARIMO, kisha nitumie ujumbe wasap au SMS usemao;  NIUNGE SEMINA YA MCHANGANUO WA KUKU NA OFFA YA VITU 10

Hapa chini ni vitu (items) hizo 10 za offa;

  

                     1.     KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI (New special edition 2021) –cha kiswahili 


   

                     2.     KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza

 

                     3.     Mchanganuo kamili wa kilimo cha Tikiti-maji (KIBADA WATERMELON BUSINESS PLAN)-kwa kiswahili

 

                     4.     Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa Kiswahili & kiingereza

 

                     5.     Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili

 

                   6.   Mchanganuo kamili wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili 

              

                   7.   Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara vinayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Kwa Kiswahili & kiingereza

 

                   8.   Vipengele / (Outlines) vya Mpango wowote ule wa Biashara kwa kiswahili na kwakiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika business plan unaweza kuvifuatisha ukaandika.

 

                   9.   Kuungwa group la Michanganuo la mentorship mwaka mzima 2021 (MICHANGANUO-ONLINE MASTERMIND GROUP) unaweza kuuliza swali lolote lile muda wowote kuhusu michanganuo na ujasiramali kwa ujumla.

 

                   10.   Access ya Masomo zaidi ya 70 ya elimu ya fedha kwa kiswahili usiyoweza kuyapata mahali pengine popote.


Ukiwa na simu ya SMARTPHONE ni vizuri zaidi lakini pia ikiwa huna unaweza tu kulipia nikakutumia masomo yote na semina kwa njia ya e-mail.

Items zote 10 unatumiwa mara ulipiapo ada yako sh. Elfu 10 kisha unasubiri semina tarehe 15/11

Mwisho wa kulipia ni Jumapili tarehe 14/11/2021 usiku.

ASANTE SANA UNAKARIBISHWA !

Peter A.

Mjasiriamali na Mtaalamu wa Michanganuo ya Biashara.

0 Response to "SEMINA: MCHANGANUO WA KUOMBA MKOPO BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA 2000"

Post a Comment