OFFA YA KUPATA BURE NAKALA YA KITABU CHA FIKIRI NA UTAJIRIKE(THINK & GROW RICH) | JIFUNZE UJASIRIAMALI

OFFA YA KUPATA BURE NAKALA YA KITABU CHA FIKIRI NA UTAJIRIKE(THINK & GROW RICH)

KITABU: FIKIRI & UTAJIRIKE(THINK & GROW RICH-SWAHILI-EDITION))

FIKIRI NA UTAJIRIKE! (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION)

Umewahi kufikiria kwamba fikra peke yake zinaweza kumfanya mtu awe tajiri? kauli hii inaweza kufanana na utapeli wa kimtandao lakini ndio ukweli ulivyo, Matajiri wengi na watu waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali kimaisha wamefikia pale walipo kutokana tu na namna walivyozitumia akili zao kufikiri.

Kuujua ukweli huu kwa undani ungana na Napoleon Hill katika kitabu chake THINK AND GROW RICH au FIKIRI NA UTAJIRIKE sasa katika lugha ya kiswahili.

FIKIRI NA UTAJIRIKE kinapatikana katika mifumo yote, kitabu cha karatasi(hardcopy) na nakalatete(Softcopy) Bei halisi ya kitabu kwa hardcopy ni sh. elfu 20 ukiwa Dar, mikoani gharama ya basi huongezeka. Kwa Softcopy bei halisi ni sh. elfu 15 na kinapatikana katika mtandao wa GETVALUE.

Hata hivyo kwa sasa tuna punguzo kwa upande wa nakalatete(softcopy) badala ya sh. elfu 15 mteja anaweza kulipia vitabu vyetu vingine 3(MICHANGANUO YA BIASHARA, MIFEREJI 7 YA PESA na ELIMU YA PESA) kwa sh. elfu 10 tu na kisha hiki cha FIKIRI NA UTAJIRIKE tukampatia bure! Offa hii ni ya muda mfupi sana.

Lipia sasa hivi sh. elfu 9 kisha nikupatie coupon ya kununulia kitabu chako katika link ifuatayo kwa sh. elfu 1 iliyobakia. Vitabu 3 nakutumia PDF zake papo hapo halafu hicho cha Think and Grow Rich unakipata kwa coupon nitakayokupa. 

Hii hapa chini linki ya kitabupepe,

https://www.getvalue.co/.../think_&_grow_rich-swahili...

NB: Kuweza kupata hii nakalatete ya kitabu unapaswa kuwa na Simujanja(smartphone) kwa maelezo zaidi unaweza kunicheki kwa watsap au simu namba zifuatazo, 

0765553030 au 0712202244

0 Response to "OFFA YA KUPATA BURE NAKALA YA KITABU CHA FIKIRI NA UTAJIRIKE(THINK & GROW RICH)"

Post a Comment