KWANINI TUNATUMIA PESA NYINGI ZAIDI KULIKO KIASI TUNACHOPASWA KUTUMIA?


kutoa pesa kununua kitu
Mtu anaweza akawa anazijua njia zote za kuepukana na matumizi mabaya ya fedha lakini bado tu akajikuta pasipo yeye kufikiri wala kuchukua tahadhari anatumia pesa kupita kiasi anachotakiwa kutumia. Hili hutokana na ubongo wa binadamu kuwa na “ujanja” mwingi. Ubongo wetu ulivyo, huwa unatengeneza kitu kama mtego wa kutunasa na sisi bila ya kujua tunajikuta tumetumbukia.


Ni jinsi gani unavyoweza ukajisaidia mwenyewe na kukwepa matumizi yasiyokuwa ya lazima, unahitaji kufahamu ni vikwazo au sababu zipi zinazoweza kukufanya uingie mtego huo. Sababu hizo ni  hizi zifuatazo;................................

...........................................

Somo hili zima litapatikana katika darasa la kila siku la masomo yahusuyo fedha leo tarehe 5 usiku saa 3. Ikiwa bado hujajiunga kujiunga kiingilio ni sh. elfu 10 kupitia namba 0765553030 au 0712202244. Tunakupa masomo na semina zote zilizopita pamoja na vitabu na michanganuo kamili ya biashara mbalimbali.

Ada hii ni ya mwaka mzima na hamna gharama nyingine za ziada. Ikiwa hupendi kujiunga na Group unaweza kututumia anuani yako ya email na tukakutumia kila kitu kupitia email badala ya wasap.

Baadhi ya masomo na vitu mbalimbali utakavyopewa punde tu baada ya kujiunga ni hivi vifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.      Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.      Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

12.      Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.


13.      Ukurasa mmoja wa mchanganuo.


0 Response to "KWANINI TUNATUMIA PESA NYINGI ZAIDI KULIKO KIASI TUNACHOPASWA KUTUMIA?"

Post a Comment