PUNGUZO LA BEI (OFFA) KWA VITABU 3 KUTOKA SELF HELP BOOKS TANZANIA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

PUNGUZO LA BEI (OFFA) KWA VITABU 3 KUTOKA SELF HELP BOOKS TANZANIA



Kuanzia leo siku ya tarehe 2 Octoba 2018 mpaka tarehe 9 Octoba  kutakuwa na punguzo la bei kwa mteja anayenunua vitabu vyetu vyote 3, kwa njia ya email. Vitabu hivyo ni;

*  MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

*  MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA

*  MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA

Badala ya kulipa shilingi elfu 18 atalipa shilingi elfu 15 tu kwa vitabu vyote 3

Malipo ni kupitia namba za simu 0712202244  au  0765553030 jina ni, Peter Augustino Tarimo.

Wasap namba ni, 0765553030

Mara tu baada ya malipo vitabu vyote hutumwa muda huohuo kwenye email ya mteja.










0 Response to "PUNGUZO LA BEI (OFFA) KWA VITABU 3 KUTOKA SELF HELP BOOKS TANZANIA"

Post a Comment