JIPATIE VITABU-PDF, SEMINA, MASOMO YA KIPEKEE NA MICHANGANUO MAARUFU YA KUKU AINA ZOTE


1. VITABU
BEI ZIPO KWENYE PICHA YA JUU
Vitabu vyetu maarufu 3 vinapatikana katika mifumo ya softcopy(PDF) na pia HARDCOPY(vitabu vya karatasi). Softcopy tunatuma kwa njia ya email na hardcopy tunakuletea mpaka ulipo Dar es salaam mteja ataongeza sh. elfu 2 kwa ajili ya gharama za usafiri, Mikoani tunatuma kwa njia ya mabasi, gharama ya basi pia huongezeka, au mteja anaweza kumuagiza mtu anayefika Da es salaam akamchukulia kutoka kwetu. 

Unaweza kudownload kurasa chache za vitabu hivyo hapo chini kwa kila kitabu kwa kubonyeza maandishi chini yaliyoandikwa DOWNLOAD. 

**Kusoma makala zilizowekwa muda mfupi uliopita katika blogu hii fungua HAPA HOMEPAGE chini ya makala hii. 

 KITABU CHA MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

 KITABU CHA MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA
 KITABU CHA MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA


***Kwa makala nyingine nyingi nzuri na zinazoelimisha zilizowekwa hivi punde rudi hapa, HOME PAGE chini ya makala hii kusoma makala uzipendazo.

2. SEMINA MASOMO NA MICHANGANUO

BEI YA VITU VYOTE VILIVYOORODHESHWA HAPO CHINI NI SH. ELFU 10 NA UNATUMIWA KAMA SOFTCOPIES(PDF)
Semina, masomo mbalimbali na michanganuo maarufu ya kuku aina zote(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACK). Ukinunua kifurushi cha masomo haya unapata fursa ya kujiunga na Group la watsapp bure. Semina na masomo haya yaliwahi kufundishwa siku zilizopita katika Blogu na Group la MICHANGANUO ONLINE. Baadhi yake vimeorodheshwa hapa chini;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.              Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.              Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

12.              Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

Ukurasa mmoja wa mchanganuo.Ukihitaji Vitabu/kitabu au masomo ya semina na michanganuo, tuma fedha kupitia moja ya namba zilizo hapo chini kisha anuani yako ya email na ujumbe, utatumia kitabu/vitabu/ masomo muda huohuo. 

Kwa vitabu vya karasi(HARDCOPY) Dar, utalipa fedha utakapoletewa kitabu, Mikoani vitabu vya hardcopy tunatuma kwa njia ya mabasi kwa sh. elfu 45 vyote 3 au unaweza  kumuagiza mtu anayefika Dar akakuchukulia kutoka kwetu, vyote 3 kwa sh. elfu 37 tu.

SIMU:              0712202244
WHATSAPP:   0765553030


2. HUDUMA YA KUANDIKIWA MPANGO WA BIASHARA YAKO.

Sisi tunaamini kwamba MCHANGANUO/MPANGO WA BIASHARA yeyote ile anayepaswa kuuandaa ni yule mjasiriamali au mtu mwenyewe anayetarajia kuiendesha biashara husika. Sababu kubwa ni kwamba yeye ndiye anayeifahamu vizuri zaidi biashara hiyo kushinda mtu mwingine yeyote yule na ni lazima aielewe vyema vinginevyo basi hataweza kufanikiwa kuitekeleza kwa faida.

Mtu mwingine akikuandikia mchanganuo wa biashara yako au ukifanya "kopi and paste ya mpango wa mtu mwigine" mpango huo hautakuwa na manufaa yeyote kwako labda tu iwe unafanya hivyo kutimiza matakwa fulani basi na baada ya hapo uutie kapuni. Lakini kumbuka mpango wa biashara ni jinsi utakavyoifanya biashara yako, ni mawazo kutoka akilini mwako na katika utafiti ulioufanya katika harakati za kuijua vyema biashara unayotaka kuifanya. Hivyo ni lazima mawazo yote yatokane na wewe.

Lengo letu kuu tokea mwanzoni lilikuwa ni kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara wadogo na wakati kuwa na uwezo wa kuandaa michanganuo ya biashara zao wenyewe lakini tumegundua pia kwamba wapo wajasiriamali wanaopenda kuandaa michanganuo ya biashara zao kwa malengo mbalimbali lakini hawana muda wa kutosha kujifunza kozi yote inayotakiwa mtu kujifunza mpaka aweze kuandika. 

Kwahiyo tumeanzisha huduma ya kuwaandikia wajasiriamali kama hao michanganuo yao kwa kuwatoza gharama kidogo ya asilimia 2% mpaka 3% ya mtaji wote bila kujali ana malengo gani na mchanganuo huo ijapokuwa tunaamini kuwa kila mjasiriamali anahitaji mchanganuo wa biashara yake iwe mpya au hata ya zamani kwa lengo la kuifanya kwa uhakika zaidi na hatimaye kuzidisha uwezekano wa kufanikiwa.


UTARATIBU WA KUPATA HUDUMA HII.
Ili kukidhi hitaji la mawazo ya mpango wa biashara yako kutoka kichwani kwako mwenyewe, tunakuandalia dodoso la maswali kadhaa ambayo kwa kuyajibu yote inakuwa ni sawa sawa na wewe mwenyewe kuandika mpango huo. Sisi kazi yetu kubwa inakuwa ni kupanga tu mawazo yako kimpangilio jinsi inavyotakiwa na kuongeza lugha inayotakiwa katika kuunda mchanganuo huo.

MUDA WA KUANDIKA.
Ukishathibitisha kuhitaji huduma hii, siku ya kwanza unalipa malipo ya awali nusu ya gharama, tunakutumia maswali ambayo utayafanyia kazi siku moja mpaka 3. Baada ya kututumia majibu ya maswali hayo, itatuchukua wiki 1 mpaka 3 kuandika mchanganuo wako mpaka kukamilika. Unaweza kuchukua siku chache zaidi kulingana na uharaka wako katika kutupatia majibu ya maswali tutakayokupatia. Siku ya mwisho unamalizia malipo yaliyobakia na tunakutumia mchanganuo wako online(mtandaoni) ukiwa katika mifumo yote PDF na WORD document.

LUGHA INAYOTUMIKA.
Mteja ndiye utakayeamua ni lugha ipi itumike kati ya Kiswahili au Kiingereza. 

  
.........................................................................
Kwa makala nyingine nyingi nzuri na zinazoelimisha zilizowekwa hivi punde rudi hapa, HOME PAGE chini ya makala hii kusoma makala uzipendazo.

1 Response to "JIPATIE VITABU-PDF, SEMINA, MASOMO YA KIPEKEE NA MICHANGANUO MAARUFU YA KUKU AINA ZOTE "