FEDHA ZAKO HUPOTELEA WAPI KILA SIKU? FAHAMU UCHUKUE HATUA HARAKA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

FEDHA ZAKO HUPOTELEA WAPI KILA SIKU? FAHAMU UCHUKUE HATUA HARAKA

MWIZI WA FEDHA ZAKO HUYU HAPA

Yamkini umekuwa ukijiuliza kila mara, “Jamani hivi mimi kuna chuma ulete anayechukua pesa zangu au ni nini? Mbona kila zikiingia mfukoni mchana jioni sizikuti?” Maswali kama hayo na mengine yanayofanana yamekuwa yakisumbua vichwa vya watu wengi wanaofanya biashara na hata wale wanaokwenda makazini kila siku asubuhi na kurudi majumbani jioni.

Nimefundisha somo linalojibu swali hili kwa kina ndani ya kundi(group) la MICHANGANUO ONLINE, Group la masomo yanayoendeshwa kila siku kwa njia za WHATAPP, EMAIL na BLOGU YA PRIVATE, unachagua mwenyewe njia ya kusoma. Ni somo muhimu sana ingawa unaweza ukaliona la kawaida lakini ukilijua vizuri unaweza ukajikuta umetegua miongoni mwa vitendawili vinavyowatatiza watu wengi katika maisha ya leo.

Ada ya kujiunga na kundi hili ambapo unapata na offa ya vitu vingine vingi, ni sh. Elfu 10 tu na utajifunza mwaka mzima bila gharama za ziada. Kitu kizuri zaidi ni kwamba, unapojiunga tunakupa mkusanyiko(compilation) wa masomo mengine yote ya semina zetu zilizopita pamoja na mijadala na mambo yote muhimu yaliyotokea kwenye kundi.

Vile vile siyo lazima uwe unatumia whatsapp kwani kuna njia zingine mbadala 2, email na blogu ya private, ukitaka kutumia njia zote 3 unatumia pia. Ukiwa katika kundi hili unakuwa karibu kabisa na wataalamu mbalimbali katika fani za, ufugaji, IT, Kilimo, Habari, Ualimu, Biashara, Sheria, Uhandisi nk. lakini wote kwa pamoja wakiunganishwa na mwavuli mmoja wa UJASIRIAMALI.

SIMU:            0712202244  AU  0765553030
WHATSAPP: 0765553030
JINA:             Peter Augustino Tarimo

Kwa vitabu tembelea, SMART BOOKS TZ.

0 Response to "FEDHA ZAKO HUPOTELEA WAPI KILA SIKU? FAHAMU UCHUKUE HATUA HARAKA"

Post a Comment