SEMINA IMESHAANZA, JIUNGE BADO HUJACHELEWA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SEMINA IMESHAANZA, JIUNGE BADO HUJACHELEWA

Tumeanza na kipengele cha fedha  cha mchanganuo wa saluni ya kike iitwayo Rose Hair & Beauty Saloon. Makisio ya pesa katikamchanganuo wa biashara kuna maeneo muhimu manne ambayo ni lazima uyakamilishe kabla hujaingia katika kipengele chenyewe cha pesa,maeneo hayo ni 

·       Kianzio
·       Soko katika  tathmini ya wateja watarajiwa
·       Makisio ya mauzo, gharama za mauzo na bajeti ya gharama za kudumu za uendeshaji katika kipengele cha Mikakati na utekelezaji
·       Kwenye Uongozi katika kukadiria mishahara ya wafanyakazi .

Ukisha fahamu vizuri namna maeneo hayo manne yanavyohusiana kwenye mchanganuo mzima basi hesabu haziwezi kuwa na changamoto tena, wakati unapotaka kuandaa mchanganuo wowote ue wa biashara.


Kama bado hukuwa umejiunga kwenye semina hii, nafasi bado ipo hujachelewa bado, Lipa kiingilio chako sh. elfu 10 kupitia namba za simu 0712202244   au   0765553030 kisha anuani yako ya GMAI kwa njia ya meseji, na utatumiwa email ya masomo, kitabu cha michanganuo ya biashara na ujasiriamali pamoja na link ya BLOGU YA MASOMO YA SEMINA.


Usikose siku ya kesho semina itaendelea na tutajadili vipengele vingine 3 ambavyo ni;  Huduma/bidhaa, Soko na Uongozi.

0 Response to "SEMINA IMESHAANZA, JIUNGE BADO HUJACHELEWA"

Post a Comment