SUPU YA KUKU KWA AJILI YA ROHO (CHICKEN SOUP FOR THE SOUL): KITABU KINACHOHAMASISHA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SUPU YA KUKU KWA AJILI YA ROHO (CHICKEN SOUP FOR THE SOUL): KITABU KINACHOHAMASISHA


Huu ni mfululizo wa vitabu vingi vya insha zenye kuhamasisha pamoja na simulizi za ukweli kuhusiana na maisha ya kawaida ya watu kama yalivyosimuliwa na Wahamasishaji na wazungumzaji wawili maarufu, Jack Confield na mwenzake Mark Victor Hansen kuanzia miaka ya 90. ‘Series’ au mfululizo wa vitabu hivyo mpaka leo hii bado unaendelea lakini chini ya wamiliki wengine tofauti.

Simulizi hizo za kweli za maisha, Jack na mwenzake waliweza kuzipata kutoka kwa wasikilizaji wao mbalimbali katika semina zao walizokuwa wakiitisha za kuhamasisha na kufundisha. Mswada wa kwanza wa kitabu hicho ulikataliwa na wachapishaji kadhaa kabla kampuni moja ndogo ya uchapishaji iitwayo HCL kuja kukubali kukichapisha. “Chicken Soup For the Soul” sasa kikaja kugeuka kuwa kitabu maarufu mno na kinachopendwa sana na watu kutokana na stori zake za kuhamasisha na kutia moyo. Kimeuza karibu nakala milioni 140 mpaka sasa.





,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Ile semina ya MICHANGANUO YA BIASHARA sasa imeanza kuchanganya wahi usichelewe.  Namna ya kujiunga bonyeza hapo.

Kwa vitabu vyako vya Biashara na Ujasiriamali tembelea SMARTBOOKSTZ

Kupata vitabu bila malipo(bure) kikiwemo kitabu cha kanuni ya kujifunza elimu ya Pesa na Mafanikio bonyeza hayo maandishi.

Hii hapa ndiyo ratiba ya SEMINA YA MICHANGANUO YA BIASHARA.

0 Response to "SUPU YA KUKU KWA AJILI YA ROHO (CHICKEN SOUP FOR THE SOUL): KITABU KINACHOHAMASISHA"

Post a Comment