PATA VITABU VYA UJASIRIAMALI PDF NA VYA KARATASI HARDCOPY KWA BEI NZURI KABISA.

Vitabu vya Self Help Books Tanzania, sasa ukiwa sehemu yeyote ile unaweza ukavipata vikiwa katika mifumo yote, iwe unataka kitabu cha kawaida cha karatasi au PDF softcopy.

Chakufanya:
Kama upo Dar es salaam ukitaka kitabu chochote kile cha karatasi, wasiliana na sisi kwa namba 0712 202244  au 0765 553030 utaletewa kitabu mpaka pale ulipo au unaweza kufika ilipo ofisi yetu Mbezi stendi kwa Msuguri karibu na stendi ya malori ya endayo Mikoani.

Unapoletewa kitabu/vitabu mpaka mahali ulipo utaongeza gharama ya nauli shilingi 2000/= kwenye bei ya kawaida ya kitabu/vitabu.

Kama upo Mikoani, mkoa wowote ule ukitaka kitabu cha karatasi wasiliana nasi na baada ya kutuma pesa pamoja na gharama za kusafirisha kitabu sh. 8,000/=  au 10,000/= kutegemea umbali ulipo, tunakutumia kitabu/vitabu kupitia njia ya basi linalofika eneo ulipo. 

Ukihitaji kitabu/vitabu katika mfumo wa PDF(softcopy) ambapo unaweza kusoma kikiwa katika simu, compyuta au tablet, bei zake hupungua na ili kuvipata unalipia kupitia namba 0712 202244  au  0765 553030 pamoja na kutuma anuani yako ya barua-pepe, E-mail kwa njia ya meseji kisha na sisi tunakutumia kitabu/vitabu vyako ndani ya dakika chache popote pale ulipo.

Hapa chini unaweza ukapakua(ukadownload) vitabu hivyo vitatu lakini vikiwa na kurasa chache tu za mwanzo na za mwisho, siyo vitabu vizima. Kwa maelezo ya kila kitabu kwa kina unaweza ukayapata kwa kutembelea, SMARTBOOKSTZ, blogu maalumu kwa ajili ya vitabu.


Download hapa chini kurasa 3 za mwanzo, mmoja wa mwisho na jalada kwa kila kitabu.1. MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI 
 Michanganuo ya biashara na ujasiriamali 
2. MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA
 Mifereji 7 ya pesa na siri matajiri wasiyopenda kuitoa 

3. SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA, DUKA LA REJAREJA 
 Siri ya mafanikio ya biashara ya rejareja

.........................................................................................................................................................
Kwa makala mpya za kuelimisha zilizowekwa muda mchache uliopita, tafadhali rudi HOME page na  ufungue makala zinazofuata chini baada ya makala hii.

Kuingia kwenye Blogu ya Semina ya kujifunza jinsi ya kuandaa mipango ya biashara kwa sauti na maandishi bonyeza maandishi hayo. 

Lakini kama bado haujajiunga na semina, blogu hiyo haitaweza kufunguka, na ili kujiunga na semina hii ya kudumu(HAICHACHI SEMINA) lipa kiingilio chako shilingi elfu 10, upewe na kitabu cha Michanganuo bure.

Kwa vitabu zaidi kutoka self help books Tanzania tembelea SMART BOOKS TZ

Kupata bila malipo kitabu maarufu cha "KANUNI NA SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO KWA UFANISI" na vitabu vingine vingi vya bure bonyeza maandishi hayo makubwa kisha ujaze taarifa zako katika fomu utakayopewa.

0 Response to "PATA VITABU VYA UJASIRIAMALI PDF NA VYA KARATASI HARDCOPY KWA BEI NZURI KABISA."

Post a Comment