SOMO LA LEO 1: JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA, UTAANZA VIPI? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SOMO LA LEO 1: JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA, UTAANZA VIPI?


Somo letu la kwanza katika darasa letu la SEMINA YA KUANDIKA MICHANGANUO YA BIASHARA tutajifunza mambo yafuatayo;
Ø Maana ya mchanganuo au mpango wa biashara ni nini?
Ø Majina mbalimbali yanayomaanisha mpango wa biashara
Ø Ni kina nani wanaohitaji mpango wa biashara
Ø Unaanzaje kuandika mpango wako wa biashara?
Ø Mawazo ya mchanganuo wa biashara unayatoa wapi?

Darasa limeanza leo rasmi katika Chuo cha Michanganuo ndani ya blogu ya MICHANGANUO YA BIASHARA. Kiingilio katika darasa hili ni shilingi elfu 10,000/= ambazo unapewa na kitabu kimoja cha JIFUNZE MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kikiwa katika mfumo wa Softcopy au kitabupepe utakachotumiwa kwenye E-mail yako.

Kulipa kiingilio hiki tuma pesa na anuani yako ya EMAIL lakini ni lazima iwe ya GMAIL kwenye moja kati ya namba za simu zifuatazo, 0712 202244  au  0765 553030  jina ni Peter Augustino Tarimo.


NA HII PIA: Sababu kuu 5 kwanini uandike mpango wa biashara




  
                                                                                                               

0 Response to "SOMO LA LEO 1: JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA, UTAANZA VIPI?"

Post a Comment