MAPITIO KWA UFUPI YA KITABU THINK AND GROW RICH SURA YA TANO 5 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAPITIO KWA UFUPI YA KITABU THINK AND GROW RICH SURA YA TANO 5

SURA YA 5.
Hatua ya 4 kuelekea utajiri.
Ujuzi/maarifa hayawezi kumsaida mtu kupata  pesa au utajiri ikiwa kama  hayatapangiliwa vizuri na kuwekwa katika vitendo. Ndiyo sababu utakuta kwa mfano kuna watu  wenye elimu na maarifa mengi lakini hawana fedha nyingi, wapo maprofesa wengi wa vyuo vikuu  waliobobea  katika kutoa maarifa lakini hawakubobea katika kuyaweka maarifa hayo katika vitendo halisi.

Ili uhesabike kuwa ni Msomi siyo lazima uwe na maarifa mengi, bali utahesabika msomi ikiwa tu utajijengea uwezo kiakili wa kuweza kupata  maishani chochote kile  ukitakacho, ili mradi hauingilii wala kuzima  haki za  watu wengine, ndani ya  kitabu  mwandishi amemtaja Henry Ford, mgunduzi wa magari kama mfano mmoja wapo katika hili.



>>>Sura inayofuata, 6>>>>               


>>>Sura iliyopita, 4<<<<<<                        

0 Response to "MAPITIO KWA UFUPI YA KITABU THINK AND GROW RICH SURA YA TANO 5"

Post a Comment