HUDUMA ZA MAHESABU YALIYOKAGULIWA, MICHANGANUO YA BIASHARA, PROJECTIONS, KUSAJILI KAMPUNI & NGOS | JIFUNZE UJASIRIAMALI

HUDUMA ZA MAHESABU YALIYOKAGULIWA, MICHANGANUO YA BIASHARA, PROJECTIONS, KUSAJILI KAMPUNI & NGOS










Je, Unahitaji huduma Hizi?,
Mahesabu yaliyokaguliwa, kutayarishiwa mpango wa biashara/mradi, kutengenezewa mtiririko wa fedha(Projections), kusajili kampuni, kusajili Shirika lisilokuwa la kiserikali(NGS) au taasisi ya dini?


Basi usihangaike, wasiliana na sisi kupitia namba hii hapa, 0712 202244. Mtandao wetu wa makampuni zaidi ya matatu una wataalamu waliobobea katika shughuli hizi, utakamilishiwa kazi yako kwa muda mfupi na kwa weledi.

Ikiwa unataka kuanzisha biashara kubwa au hata za kati, Huduma za kitaalamu kama hizi, huwezi ukazikwepa, hata kama wewe unao ujuzi husika, kuna maswala mengine ili yafanyike kwa ufanisi zaidi utahitaji mtu mwingine wa pili afanye, hata mganga hawezi kujiganga mwenyewe.


Kwa biashara ndogondogo kama ilivyo kwa wajasiriamali wengi wadogowadogo suala la gharama linaweza lisiwaruhusu kupata huduma za kihasibu kama hizo, lakini pia kuna njia mbadala wanazoweza wakazitumia kuweza angalao kuendesha biashara zao kitaalamu kama wafanyabiashara wakubwa na wa kati wafanyavyo, njia hizo ni kama vile kujisomea vitabu mbalimbali mfano vitabu vya self help books na vinginevyo vya waandishi wengineo, semina mbalimbali zinazotolewa na wahamasishaji na waalimu wa biashara na ujasiriamali.

Vitabu vya Self Help books vinawafaa wajasiriamali wote wadogowadogo na hata wale wa kati, Waalimu na wawezeshaji semina mbalimbali za ujasiriamali pamoja na mtu yeyote anayependa kujifunza masuala mbalimbali ya Ujasiriamali na Biashara. 

0 Response to "HUDUMA ZA MAHESABU YALIYOKAGULIWA, MICHANGANUO YA BIASHARA, PROJECTIONS, KUSAJILI KAMPUNI & NGOS"

Post a Comment