VITABU VYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

VITABU VYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI

SMART BOOKS TANZANIA ni ukurasa maalumu ulioanzishwa kwa ajili ya kuvielezea vitabu mbalimbali vinavyochapishwa na kusambazwa na kampuni yako ya Self Help Books Tanzania Limited. Tovuti hiyo inaonyesha majalada ya vitabu vyote katika ukurasa mmoja na mtu anaweza akabonyeza kitabu akipendacho ili kupata maelezo yake zaidi. Lengo kuu la ukurasa huo ni kuhamasisha wasomaji kujisomea vitabu vya biashara na ujasiriamali kupitia simu za mkononi maarufu kama SMART PHONES au Tablets na hata kompyuta za kawaida.
SMART BOOKS TANZANIA, VITABU KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI

Bonyeza maandishi yafuatayo kufika ukurasa huo, SMART BOOKS TZ.

0 Response to "VITABU VYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI"

Post a Comment