HERI YA SIKU YA KUZALIWA MR. PETER AUGUSTINO TARIMO! | JIFUNZE UJASIRIAMALI

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MR. PETER AUGUSTINO TARIMO!


Timu nzima ya Self Help Books Publishers Limited leo tarehe 26 February tunakutakia mwenzetu Bwana Peter  sikukuu njema ya kuzaliwa kwako. Mungu akubariki na kukuongoza katika majukumu yako ya kila siku. 

Happy birthday Peter Augustino Tarimo!

Tunapenda kunukuu kauli yako maarufu isemayo ; 

Pamoja na magumu na machungu yote, mwanadamu unayopitia katika maisha yako, lakini maisha ni lazima yaendelee(Life goes on)" - Peter A. Tarimo



0 Response to "HERI YA SIKU YA KUZALIWA MR. PETER AUGUSTINO TARIMO!"

Post a Comment