MILLIANO LYRICS, DR.JOSE CHAMELEONE: SIKILIZA MASHAIRI YA WIMBO NA VIDEO YAKE MPYA DOWNLOAD | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MILLIANO LYRICS, DR.JOSE CHAMELEONE: SIKILIZA MASHAIRI YA WIMBO NA VIDEO YAKE MPYA DOWNLOAD


…..Milliano…..Milliano………Milliano…..

Kuja nikupe chako, na wewe unipe changu
Kuja nikupe penzi, na wewe unipe penzi..
Nikupe…Unipe.. nikupe na wewe unipe..
Nishike..Nikushike.. Nishike na mimi nikushike…..

Shoud have come beauty oo my delight, beautifull face I
……………….....siku nyingi ninafantasize..why?
Can we have a special night, me and you
Looking at the twinkle light, ………………………
For me to memorize, oo…………………………..

We will be together forever 
For ever to get every wether
Together like bird of a feather
Me and you oo oo ooo…….

Kuja nikupe chako, na wewe unipe changu
Kuja nikupe penzi, na wewe unipe penzi..
Nikupe…Unipe.. nikupe na wewe unipe..
Nishike..Nikushike.. Nishike na mimi nikushike…..

Mpenzii mpaka lini, kila siku eti subiri
Sasa nifanye nini, kupata wakati niambie
Lady, nikupe nini, sema chochote  nifanye nini
Mbona hunijibu bei be, naomba unipe wakati

We will be together forever forever
For ever to get every wether
Together like bird of a feather
Me and you oo ….oo…. ooo…..

Kuja nikupe chako, na wewe unipe changu
Kuja nikupe penzi, na wewe unipe penzi..
Nikupe…Unipe.. nikupe na wewe unipe..
Nishike..Nikushike.. Nishike na mimi nikushike…..

(Vyombo vitupu)

Kwa nini ninakufata, una vyote navyotaka
Unajua nilidata, muulize seneta wa posta
Sasa, napiga magoti, nakufuata namimi sichoki
Naomba unipe ripoti, You know how……..
Ee..eee…Ayoyoo…Chameleone……………

We will be together  forever
For ever to get every wether
Together like bird of a feather
Me and you oo ….oo…. ooo…..

Kuja nikupe chako, na wewe unipe changu
Kuja nikupe penzi, na wewe unipe penzi..
Nikupe…Unipe.. nikupe na wewe unipe..
Nishike..Nikushike.. Nishike na mimi nikushike…..
……………………………………………………….
…..Milliano…..Milliano……………Milliano…..

Mashairi haya(LYRIS) ya wimbo wa Chamelione, 'Milliano' siyo rasmi sana na yamenukuliwa haraka haraka kutoka wimbo huo ukiwa hewani, tafadhali wadau kama kuna yeyote aliye na mashairi hayo kamili tunaomba ayaweke hapo chini kwenye maoni ili turekebishe, kuna sehemu hizo zilizokuwa tupu ( blank) baadhi ya maneno ya kimombo yaliyotamkwa hayakuweza kusikika vizuri.

Juu ni video ya wimbo Milliano wa Dr.Jose Chameleone

Na ile ahadi yetu tuliyoitoa ya kuwaelezea wasanii waliofanikiwa na watu wengine mashuhuri, ni nini sifa au sababu zilizowafikisha pale walipo, sasa tumeanza rasmi na Dr. Jose Chameleone. Tunachotaka kufahamu hasa ni zile tabia ambazo wao wanazo lakini watu wengine hawana, ni vitu gani wameweza kuvifanya tofauti?, wana sifa zipi za kipekee? mpaka kuweza kuwazidi watu wengine na kungara kimataifa?

Ungana na sisi kila siku katika blogu yako hii, ili usipitwe na uhondo huu.Vile vile tutakuwa na makala nyinginezo nzuri za kuvutia. Ili kupata mfululizo wa makala za msanii mfano Chameleone, makala zote zitawekwa katika 'label' au tag 'DR.JOSE CHAMELEONE' halikadhalika na wasanii au watu wengine mashuhuri nao watakuwa na tag zao kulingana na majina yao mfano DIAMOND, ALI KIBA, LADY J D nk.


1 Response to "MILLIANO LYRICS, DR.JOSE CHAMELEONE: SIKILIZA MASHAIRI YA WIMBO NA VIDEO YAKE MPYA DOWNLOAD "

 1. STANZA 1

  Black and beauty, you're my delight
  Beautiful face and tou smile so bright
  Canndle light dinner, let me orrganise
  Siku nyingi ninafantasize, why?

  Can we have a special night, me and you
  Looking at the twinkle light ,
  It will be a date,For me to memorise
  Nobody jeopardise

  ReplyDelete