MAD BIZO - FAIDA NA HASARA DOWNLOAD VIDEO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAD BIZO - FAIDA NA HASARA DOWNLOAD VIDEO




Huu ni wimbo wa kwanza wa Mad Bizo  kuuachia rasmi pamoja na video, ingawa si mara yake ya kwanza kushiriki katika kazi zingine mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyimbo zake nyingine alizowahi kuzitoa lakini bado kuzitangaza rasmi. Nyimbo  imerekodiwa  studio za Sei Records  na video kutengenezwa na Skillz Video.

0 Response to "MAD BIZO - FAIDA NA HASARA DOWNLOAD VIDEO"

Post a Comment