DOWNLOAD VIDEO: REMIX YA WIMBO DIAMOND NA DAVIDO WALIOIMBA PAMOJA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

DOWNLOAD VIDEO: REMIX YA WIMBO DIAMOND NA DAVIDO WALIOIMBA PAMOJA


Tazama wanaume hawa wawili “Naseeb Abdul” (Diamond Platnumz) kutoka Tanzania na mwingine “David Adeleke”(Davido) kutoka Nigeria walivyofanya ubunifu wa aina yake kwa kuunganisha staili zao mbili tofauti, moja ikiwa Ngololo na nyingine Skelewu katika wimbo mmoja, My number One.  

0 Response to "DOWNLOAD VIDEO: REMIX YA WIMBO DIAMOND NA DAVIDO WALIOIMBA PAMOJA"

Post a Comment