MADAI YA KUITENGA TANZANIA A.MASHARIKI KENYATTA ATEMA CHECHE | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MADAI YA KUITENGA TANZANIA A.MASHARIKI KENYATTA ATEMA CHECHE


Leo Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akifungua barabara mpya ya reli Kanda ya Afrika Mashariki na nchi nyingine za Maziwa makuu ametema cheche kwa kusema kwamba madai ya Tanzania kutengwa katika Jumuiya ya A.Mashariki hayana msingi.


Kauli hii ya Kenyatta inakuja baada ya Rais wa Tanzania alipokuwa akilihutubia Bunge laJamhuri ya Muungano kuzishutumu Kenya, Uganda na Rwanda kwa kujitenga na Tanzania na Burundi katika maswala yanayoihusu Jumuiya ya Afrika Mashariki

Msikilize Rais Uhuru alivyokuwa akitema cheche hapa; 

0 Response to "MADAI YA KUITENGA TANZANIA A.MASHARIKI KENYATTA ATEMA CHECHE"

Post a Comment