BREAKING NEWS! MWANAMUZIKI WA TAARABU NYAWANA FUNDIKIRA AFARIKI DUNIA MCHANA HUU! | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BREAKING NEWS! MWANAMUZIKI WA TAARABU NYAWANA FUNDIKIRA AFARIKI DUNIA MCHANA HUU!

Nyawana Isale au Maarufu Nyawana Fundikira aka Mamaa Matashtiti
Mwanamuziki wa muziki wa taarab Nyawana Isale au Maarufu Nyawana Fundikira aka Mamaa Matashtiti amefariki leo hii mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akikimbizwa hospitalini baada kuzidiwa Inafahamika kuwa ameugua Malaria kwa siku kadhaa, kwa habari zaidi kuhusu kifo chake na mazishi tutaendela kujuzana humu na kwingineko. RIP mwanawane Nyawana!

HABARI NI KUTOKA BLOGU YA ALOYSON.COM
Picha kwa hisani ya taarabuzetublog!

0 Response to "BREAKING NEWS! MWANAMUZIKI WA TAARABU NYAWANA FUNDIKIRA AFARIKI DUNIA MCHANA HUU!"

Post a Comment