BONDIA RASHID MATUMLA ‘SNAKE BOY’ HALI YAKE KIUCHUMI NA KIAFYA NI TETE | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BONDIA RASHID MATUMLA ‘SNAKE BOY’ HALI YAKE KIUCHUMI NA KIAFYA NI TETE

Kutoka magazetini leo hii;
Bondia Rasid Matumla 'Snake Boy'
Gazeti Mwananchi leo hii limeripoti kwamba, licha ya umaarufu aliowahi kuwa nao bingwa wa zamani wa dunia wa WBU, Rashid ‘Snake man’ Matumla hali yake kiuchumi na kiafya imezidi kuwa tete huku mwenyewe akikiri mambo yake kumwendea kombo. Isome habari kamili hapa Mwananchi.

0 Response to "BONDIA RASHID MATUMLA ‘SNAKE BOY’ HALI YAKE KIUCHUMI NA KIAFYA NI TETE"

Post a Comment