Msomi chuo kikuu, UDSM amiliki biashara yake | JIFUNZE UJASIRIAMALI

Msomi chuo kikuu, UDSM amiliki biashara yake

Mshindi  wa droo ya 8 katika promosheni ya ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Meshack Ndoje (28) ambaye ni mwanafunzi wa UDSM akipungia kwa furaha kutoka ndani ya Bajaji yake yenye thamani ya Tsh 6,700,000 wakati wa hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Akitazama ni Meneja Bidhaa wa Tigo Bw.Husni Seif.

0 Response to "Msomi chuo kikuu, UDSM amiliki biashara yake"

Post a Comment